Tuliza makalio we sho..ghuyu ndiyo mume wako?
SI kweli zimbabwe na Africa kwa ujumla wetu tuna baniwa sana!! kwa kila kitu!! Misri yetu walipora wao!! wakachukua kila kitu!! na maendeleo yalikuwa Africa - Particulary Misri, Levant, Libya ndo sisi wusi tuliko kuwa huko!Zimbabwe enzi hizo Harare ikiitwa Sulsbury(kama nimepatia), mji ulikuwa msafi kama miji mingine ya ulaya, lakini alipokabidhiwa mwafrika kila kitu kwishney.
Vipi tena mbona umepanic?Tuliza makalio we sho..g
We bwege tuliza mikalioVipi tena mbona umepanic?
Comrade punguza jazba 😂We bwege tuliza mikalio
Sisi maneno mengi kuliko vitendo, unakuta mtu anajipambanua Engeneer amesoma Harvard University, Professor sijui nani lakini hajawahi wala hajui hata kushika randa akachonga kigoda cha jikoniHalafu population yao ni 67 millions
Tuko sawa na tunawazidi vitu vingi kasoro uchumi wametuacha mbali sana
Wakati kila kitu tunacho
Wana supermarkets kubwa zaidi ya 4000 nchi nzima
Sisi maneno mengi kuliko vitendo, unakuta mtu anajipambanua Engeneer amesoma Harvard University, Professor sijui nani lakini hajawahi wala hajui hata kushika randa akachonga kigoda cha jikoni
Kuna viongozii wavivu kufikiri, wanasubiri majanga yatokee ndipo wajitokeze majukwaani kujionyesha kuwa wanafanya kazi na maneno mengiiiii! Hawajui kuwa uongozi ni kufikiria ya sasa and beyond, wao walitakiwa kuweka mipango ya uwepo wa maji katika hali zote badala ya kusubiri ukame uje ndipi waanze kukimbizana na watu. Sielewi wanaichukuliaje TMA, hii mamlaka ilitangaza kutakuuwa na uhaba wa mvua tangu July kama sijakosea, lakini viongozi hawakutumia taarifa hizo kujipanga. Ifike wakati nafasi za uongozi ziombwe badala ya kupeana bila kuzingatia uwezo.Ila kwetu leo unamkamata Mchina uliemruhusu alime pembezoni mwa mto na vibali umempa
Kweli tuna wasomi waliokariri
Waingereza achana nao kabisa. Hao huwezi kuwalinganisha na sisi tofauti baina yetu ni sawa na mbingu na ardhi. Hao ardhi yao waliipima na kuithaminisha toka mwaka 1066 wakati wa uvamizi wa Normans takriban miaka elfu moja iliyopita. Sisi hadi leo tunaishi kwenye skwata kupima tu ardhi na kuboresha makazi yetu tunashindwa.Miaka hiyo watu walisha kua na ustaarabu wa aina hiyoo,miaka mia baadae sisi hatuja fikia walipokua
Sky this is very interesting, 1910 is very recent! Leo UK wamepiga hatua sana sana katika interval hiyo ndogo, Sisi tunakwama wapi?
Umeona kama mimi,Mbon nguo walizovaa sio za karne hyoo
Huku wanasubiri hadi ujenge kwanza ndio wanakuja kukubomoleaWaingereza achana nao kabisa. Hao huwezi kuwalinganisha na sisi tofauti baina yetu ni sawa na mbingu na ardhi. Hao ardhi yao waliipima na kuithaminisha toka mwaka 1066 wakati wa uvamizi wa Normans takriban miaka elfu moja iliyopita. Sisi hadi leo tunaishi kwenye skwata kupima tu ardhi na kuboresha makazi yetu tunashindwa.
Unafurahia hali hiyo ya London kutokana na aina ya watu wanaoishi huko.
Ikitokea watu wote wa London wakahamishiwa Dar na wa huku wakapelewa Ldn..baada ya miaka michache aliyeko London atatamani kurudi Dar.
Issue hapa sio eneo bali ni aina gani ya watu wanaoishi eneo husika.
Zimbabwe enzi hizo mji mkuu Harare ukiitwa Sulsbury(kama nimepatia), mji ulikuwa msafi kama miji mingine ya ulaya, lakini alipokabidhiwa mwafrika kila kitu kwishney.
Binadamu wote ni sawa kwa kula kunywa na kulala, lakini mengine ni tofauti kabisa...haswa ngozi nyeusi