Hii picha huwa inanifikirisha sana sana sana

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hawa ma bingwa 3 kwanza aliyepo kushoto anacheka na aliyepo kulia anaangalia hapati jibu kama watamaliza au ni lazima kukila chote au vip, maana wanaona ni mtihani kwao na hawajawahi kutana na kitu kama hicho isipokuwa ukweni, Bwana anayechumbia anaonyesha kuwa yeye ndiye muongoza mashambulizi maana anaelekeza cha kufanya. 😂
picha.jpeg
 
Ila kiukweli hapo ningekula balaa na kwa watatu hapo mbona ni sawa kabisa mtama na kuku ni utelezi wa hatari sema wamekosa tu mrenda
 
Hawa ma bingwa 3 kwanza aliyepo kushoto anacheka na aliyepo kulia anaangalia hapati jibu kama watamaliza au ni lazima kukila chote au vip, maana wanaona ni mtihani kwao na hawajawahi kutana na kitu kama hicho isipokuwa ukweni, Bwana anayechumbia anaonyesha kuwa yeye ndiye muongoza mashambulizi maana anaelekeza cha kufanya. 😂
Hii ni vita kabisa
 
hapo ni Chato.
 
Watakuwa wamemsindikiza moja wao kujitambulisha ukweni maeneo fulani USUKUMANI. Huu ni moja ya mtihani
 
Duh..hii hatari kama ndio kipimo cha kuoa...si huku tumezoea mwanaume mashine basi huku tunakula chai na slesi nne.......
Mi nahisi ilikuwa sherehe furani hivi sio bongo watu wengine walikuwepo akiwemo aliyepiga picha....ila hiyo ndinga nyeusi ni nn hiyo duh!!!!!!
 
Yaani wakimaliza na kunywa Maji watajulikana kama hawa ni wanaume wa kazi kweli kweli, binti yaani mtoto wao hata lala njaa! kwa wanakijiji wanaweza sababu hawanywagi chai, hata vyakula vya mafutamafuta. miili yao mikavuuuuu!

wakienda chooni wanashusaha chote kama kilivyo.
 
Watakuwa wamemsindikiza moja wao kujitambulisha ukweni maeneo fulani USUKUMANI. Huu ni moja ya mtihani
Usukumani mkwe huwa haletewi chakula kwenye chungu.

Usukumani hawana utamaduni wa kutengeneza nyama kavu kama huyo kuku aliyechomwa.

Usukumani ukweni ukienda kwa mara ya kwanza mboga ingekuwa nyama tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom