Pole sana mzee mzima hasa kwa kukosa msimamo/maamzi....Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
RR,ctrl+alt+del
RR,
Huoni kuwa ukimfundisha mbinu hiyo utamkosa mwanachama (of course na ADA zake) kwenye chama yenu?..
Broda Tuko, that suit you are in is too expensive for Infidelity!
+Escctrl+alt+del
Watachoka vipi na wanawake ndio wanawafanya wasichoke. Wanawake wakibadilika na wanaume watabadilika. Nyumba ndogo ni wanawake wanazianzisha na kuzikuza wanaume wakati mwingine si wa kuwalaumu. Yes i said we do entertain infidelity
mke na nyumba ndogo ni vitu viwili tofauti na unachofanya kwa nyumba ndogo vingi ni ngumu kumfanyia mkeo kule kuna huduma ya ziadawanaume kazi mnayo,angalau umekuwa mkweli.hayo manjoinjo unayoyafata huko kwa nini usimwambie mke wako akufanyie?wacha uendelee kuchunwa. Badilisha mazingira na mke wako mapenzi hayafi jamani ila wote wawili msiwe wavivu. Na huyo wa nje ukishamuacha,utatafuta mwengine,jamani hamchoki?
mke na nyumba ndogo ni vitu viwili tofauti na unachofanya kwa nyumba ndogo vingi ni ngumu kumfanyia mkeo kule kuna huduma ya ziada
Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
Pole kaka ulionja asali kumbe hukujua **** kuchonga mzinga.... nakupa moyo huko peke yako...mpo wengi wa aina yako mimi huyu niliyenae alitamani kutoka na kila siku namfukuza lakini hataki kusikia anakuja ooggh Mama kubwa naomba tena kama ile ya juzi nilienjoy sana ooogh ugali na dagaa unaonopikia sijawahi kula toka nizaliwe... na pia hii scrub ya mdalasini hutakatisha ngozi yangu... namuuliza wewe si umeoa na kwa nini usimlete mkeo nimfundishe akufanyie....anadai hii yangu ndio kubwa zaidi.....
Nami nimpagawisha kila akija namuongeza dozi za uhakika....kaka endelea tuu kulipia kwani kule ulilipa mahari na huku walipia huduma unazopata...
Mama Big, we na da sophy mna undugu?
wanaume kazi mnayo,angalau umekuwa mkweli.hayo manjoinjo unayoyafata huko kwa nini usimwambie mke wako akufanyie?wacha uendelee kuchunwa. Badilisha mazingira na mke wako mapenzi hayafi jamani ila wote wawili msiwe wavivu. Na huyo wa nje ukishamuacha,utatafuta mwengine,jamani hamchoki?