Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

Kwq hiyo unakubali kuwa Africa kabla mzungu,mwarabu etc hawajaja tulikuwa tunajiweza?

Ova
Kwa standards za wakati huo tulijiweza, ukienda Timbuktu University kuna vitabu vya karne ya 14 vya utaalamu wa Afrika.

Kipindi chote tulicho pambana na utumwa wenzetu walijiendeleza zaidi kwa elimu, sayansi na teknolojia.

Unyonge wetu baada ya nguvu kazi kubwa kuchukuliwa utumwani kuliwarahisishia wakoloni kututawala. Agenda ya utawala ilikua moja tu, kuchota mali. Na hakuna aliyewaambia acha.

Baada ya miaka mingi ya kutawaliwa, tulipopata Uhuru , hatukuwa na skills za uwongozi. Meneja wa kampuni anafika kazini saa nne na saa sita amekwenda kula chakula kwakua yeye ndiye boss.
 

New Microsoft Word Document (3)-1.jpg
 
Kifupi kwa wasio elewa. Nyumba hiyo ina miaka 512 mpaka sasa

Ukisoma afrocentric wanadai eti miaka fulani afrika ilikuwa almost the same na huko europe kimaeneleo ilhali ukimulika kiundani watu walikuwa hawana hata vyoo vya kujisaidia.
Mohamed Said
Apo huwa ndiyo najiuliza kwahyo wazungu nao walikuwa wanajisaidia maporini😂😂
 
Waliokupa historia ya hao akina alexander ndio haohao unaowaita wavamizi kifupi sisi historia yetu tumeandkiwa au kukopi ya wazungu nakuibadili
Hebu tuanze na taifa letu tanzania kabla ya vinavyo itwa vita ya majimaji hisyoria yetu huko ilikuwaje? Fikiria ya wemzetu ilikuwaje watu wamesha gundua compass wamesafiri bara hadi bara sisi tuna chamba kwa magunzi na majani ya miti. Kuuwa albino na kutupa wenye ulemavu. Huku tukisindika nyama kwa kuzikausha kwa moshi kwenye vijumba vya duara.
Kilwa ilikua na sarafu yake ya dhahabu,mji ulopangiliwa vizuri,majengo mazuri,mreno alipofika baharini akauchora Kisha akauchoma,huwezi tengeneza sarafu na kuwa na mpango mji Kama huna maarifa
 
Back
Top Bottom