Hii nyimbo inaitwaje ya kinaigeria hivi siijui jina lake

Decoration

Member
Oct 27, 2018
63
88
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin

Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.

Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye".

Mwenye majina ya hizo nyimbo naombeni nidownload
 
Ili usipate tabu sana kupata majina ya nyimbo hata kama umeikuta katikati fanya hv. Kariri angalau mistari miwili tu kwa usahihi, then hayo maneno yapeleke google au uoutube kama yalivyo bila kuacha hata moja then search. Utapata nyimbo kirahisi
 
Kwa style hio ya gongoweo hatoboi 😂😂😂 na pia phrase atayoingiza ikiwa fupi inaingilianaga na nyimbo zingine.
 
Kwahio ukitumia Yahoo ndio unakuwa tied na iPhone? Au sababu utumii instagram cmon man!
 
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin

Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.

Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye".

Mwenye majina ya hizo nyimbo naombeni nidownload
Hiyo ya pili inaitwa "Iva"
 
Bracket ft. P Square - No Time

Hii ndio hio nyimbo unayoimba Gongowea dondowea dondowea. Fanya kui google utaipata.
 
Nyingine ya Kibai bai bai hio google.
J Martins - Iva
 
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin

Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.

Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye".

Mwenye majina ya hizo nyimbo naombeni nidownload
J Martin ft. Fally Ipupa - Jupka
Google hio utaipata mzee.
 
Itakuwa ni Square feat Rick Ross

Phrase ni: Wombolo Wombolo ee wombolo ee
Hapana mashairi yake ni hivi...
"i swear you gon make me go nowhere...go nowhere...go nowhere!"
"This ting gonna make me go nowhere...go nowhere...go nowhere!"

Ukiskiza hayo mashairi ndio yanashahabiana na hizo gonowe...dondowe...dondowe! Akiskiliza atakuja kuleta mrejesho.
 
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin

Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.

Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye".

Mwenye majina ya hizo nyimbo naombeni nidownload
Hiyo ya nyingine unayosema gondowe ni ya Bracket ft P square - No time
Hiyo nyingine pia itakuwa ni ya Bracket - Mama Africa
 
Back
Top Bottom