Hii nyama ya mbwa nasikia inaongeza nguvu za kiume.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,082
6,918
d2dad55141a7186d25258ac726145558.jpg
 
Kamweneee hehehhe ngoja waje wenyewe wale wenye phd ya kujirestisha in pisi kwa kujinyonga.
 
Hili suala la nguvu za kiume tanzania limekua tatizo sugu kumshinda hata mr 2 ,"" HATA UKISEMA MAVI YA ASUBUHI YAKAUSHE ALAF YASAGE UWE UNATIA KIJIKO KIMOJA KWENYE CHAI KWA MUDA WA WIKI MBILI"" ni dawa ya nguvu za kiume ujue nyomi itafanya ivo...
 
Alooo hiyo ni noma maeneo ya huku Arusha kuanzia sakina mpaka tengeru hasa hasa kuanzia shangarai mpaka tengeru hakuna tena ma "mbwa" na hii ni baada tu ya ujio wa wachina wanao jenga hiyo barabara ni kisanga arif
 
Basi watu wa iringa watakuwa wanaongoza kwa kuwa na nguvu nyingi za kiume
 
Acheni hizooo nguvu za kiume pesa bwana

Umesema kweli mkuu. Huna kitu mfukoni lazima uirudie komoni yako tuu, Hapo nguvu za kiume zitoke wapi?? Pesa ipo nabadili kila iitwapo leo na uwezo wa kung'ang'ania juu kwa dk 30 upo kwani sina mawazo. Nipe fweza nisimamie kidole kwa dk 30 - 45
 
Back
Top Bottom