Hii Nimeipenda: Wana CHADEMA University Wavaa Magwanda Darasani

Bila shaka mmemsikia kilichosemwa na First Lady wa kwanza Tanganyika Mama Maria Nyerere alipoongea na VIONGOZI WA CHADEMA huko Butiama kuwa mwaka 2015 ni wa CHADEMA kuongoza nchi na akaangusha sala nzito!

Naona hiyo 2015 inatuchelewesha kuingia Ikullu hebu na ifike upesi sana tuchukue nchi.Ama kweli mwaka 2015 sijui CCM watapita mlango gani.

CCM lazima wajue kuwa muda wao wa kuachia madaraka umeshawadia. Ilikuwa wapumzike tangu mwaka jana 2010! Uchakachuaji ndiyo uliwaokoa!CCM lazima wajifunze kuwa wimbi linalozikumba nchi za kiarabu la KUTAKA MABADILIKO BAADA YA KUONGOZWA NA MTU AU CHAMA KILEKILE halitaishia huko. Hilo linakuja mpaka hapa Bongoland. CCM wajiandae tu kupisha Ikulu maana muda walioongoza tangu TANU-1961 na leo CCM yaani 50 years umetooooshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.

Unaweza nithibitishia wale wote walishiriki Maandamano ni Wakristo! na kama utashindwa basi utakuwa umetumwa na baba wa Uongo Tanzania Aliyepinda mawazo, ambaye hakuogopa kusema uongo hata kwenye chombo kikuu cha kutunga sheria.
WATANZANIA HATUTADANGANYIKA KWA SERA YENU MPYA YA UDINI MLIYOIANZISHA KIMYA KIMYA
 
Bila shaka mmemsikia kilichosemwa na First Lady wa kwanza Tanganyika Mama Maria Nyerere alipoongea na VIONGOZI WA CHADEMA huko Butiama kuwa mwaka 2015 ni wa CHADEMA kuongoza nchi na akaangusha sala nzito!

Naona hiyo 2015 inatuchelewesha kuingia Ikullu hebu na ifike upesi sana tuchukue nchi.Ama kweli mwaka 2015 sijui CCM watapita mlango gani.

CCM lazima wajue kuwa muda wao wa kuachia madaraka umeshawadia. Ilikuwa wapumzike tangu mwaka jana 2010! Uchakachuaji ndiyo uliwaokoa!CCM lazima wajifunze kuwa wimbi linalozikumba nchi za kiarabu la KUTAKA MABADILIKO BAADA YA KUONGOZWA NA MTU AU CHAMA KILEKILE halitaishia huko. Hilo linakuja mpaka hapa Bongoland. CCM wajiandae tu kupisha Ikulu maana muda walioongoza tangu TANU-1961 na leo CCM yaani 50 years umetooooshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

2015 MBONA MBALI SANA, SIDHANI KAMA jk atastahimili hadi wakati huo, hali ni tete ndugu zangu.
 
Pole sana Ngwendu,

Mkuu chuo cha St. Augustine hawasomi wakristo pekee. Naomba uwakumbuke idadi kubwa ya akina Asha, Mohamed na Juma walioko pale ambao ndio wafuasi wakubwa sana wa Chadema. Juma Issa ndiye aliongoza kufaa magwanda na kuhamasisha wenzie. Nadhani umeleta wrong conclusion iliyozaliwa na wrong assumptions zilizotokana na wrong thinking!!

kaka mueleweshe uyu jamaa nae atajiunga. Nimeshaweka thanks kwenye box lako. Ongeza na hii ya kiswahili "asante"
 
mimi sioni kama kuna tatizo la kuvaa vazi,
mimi kama mwananchi naweza kuvaa vazi la langi yeyote ile bila kuingiliwa na mtu yeyote yule.
Kwa hiyo mtu kuvaa green,blue au red ni uhuru wake iwe darasani,ofisini au sehemu yeyote.
CCM wanaliogopa vazi hilo kama Bush na ugaidi, lakini turudi nyuma sijaona mantiki ya wao kutinga magwanda hayo class. Kila vazi wakati wake na mahala pake.
 
ninazo pair mbili za gwanda na nang'aa nazo weekend kuliko maelezo! it is mai kasho wea!!

pipooooozzzzz!
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.

Hivi hili taahira limetoka wapi hili? Yaani mawazo yao ni kama yule Rais wao tu (Mkwere)! Naye kila anapoamka udini!! Akiulizwa kidogo kuhusu maendeleo ya nchi Udini!! Malimbukeni wakubwa nyie!!!!!
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.

Hivi hili taahira limetoka wapi hili?? Akili finyu kama ya Rais wao, naye kaimba udini huyoooo!!!
 
Hivi wewe kweli una akili, emu fikiria kwanza kabla ujatoa view zako, kumbuka kua jamii forum it contains only those who think critically before, huo udini wenu mbona mnautukuza sana? nani kakwambia kua kuvaa mavazi la chama ni kutangaza udini, mbona mnakihanya hiki chama? alo ivi nani asiyefahamu kuwa nyie ndo mmekuwa chanzo cha kuhubiri udini tz? unafikiri hatujui nini sababu ya CUF na CCM kuwa kitu kimoja? Gadafi amefanya nini Dodoma kama si kutangaza udini?, ndani ya UDOM kuna campeni za chinichini za kupigia campeni udini useme tu ni kwa vile wakristo tupo wengi kuwazidi, na hiyo ndo changamoto kwenu! kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2010, watu wengi tumepokea SMS kutoka kwenye vituo tusivyovifaham lakin kwa sababu ya theme ya sms hizo chanzo chake tulikifaham kuwa ni cha kidini, msg hizo zilikuwa zikihamasisha kuwa mpigie kura kikwete au Lipumba na usimchague NYOKA in blacket Dkt Slaa, hivi wewe kwa upeo wako huo mdogo, unafikiri mkiristo akipata sms kama hiyo atamchagua Huyo kikwete au lipumba wenu tena, yan ata kama alikuwa ni mwanachama wenu mkereketwa anakula kona,na ndo kilichowapata ccm, ukizngatia sms hizo waliozpata wengi ni watu wa mikoa ya Arusha, Mwanza, Mbeya, K'njaro, Shinyanga na Mara, mikoa ambayo nadhani wewe mwenyewe unakubali kua 3/4 ya wakazi wake ni wakristo, istoshe 3/4.5 ya raia wa Tz ni wakristo! hivyo kwa tathimini hyo ndogo na upuuzi wa hao watu waliokuwa wakituma sms hizo, ukizingatia ccm ilikuwa ishaanza kupoteza mvuto kwa wafuasi na raia wa tz kwa sababu ya uongozi wake mbovu, ndo maana unashuhudia mwenyewe na kuona upepo wa kisiasa ukibadilika ghafla kila kukicha na unaona mikoa hyo ikiongoza kwa kuwa na viongozi na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA! Sasa kuona hivo CCM imekuja juu kuhubiri udini Tz, hivi hamwezi kukumbuka kua nyie ndo mmeleta hiyo sumu kwa minajiri ya kutaka kuua ukristo, sasa kuona mmeshindwa mnaamua kutujia kwa style hiyo, TUSHAJUA! Kwa taarifa yenu sisi hatuna udini but what we believe is that we all belongs to Tz land and what we are seeking and fighting for si just for our benefit, regardless the race, religion or whatever! Lakini mjue kwamba mshaharibu wenyewe na kumbuka kua sisi ndo tulikuwa tukiwaweka madarakani kwa nia njema kumbe nyie ndani yenu mlikuwa na njama ya kutumalza, ama kweli kwa hatua hii, Baba wa Taifa lazima akumbukwe! SASA madarakani hamuingii tena kama nia yenu ni hiyo! Mkubali msikubali mtaongozwa na mkiristo chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu! yan hiyo si ya kujadili tena coz mmeyataka wenyewe, na tunaongea hivo kw sababu sie ndo wapga kura kwa 89% ya wapga kura wote tz.
 
Siku zote ukiona mtu anakimbilia udini mara nyingi amefilisika kisiasa na hana ajenda ya maana. kidumu CDM


Hi. That message was one of the "noise" to distract viewers/JF members from the main theme of the thread.


Please don't get distracted easily. Get the message intended by the post.


I am married to christian I never pay attention to such noises.


Good bless Tanzania and God bless Tanganyika!
 
The more you associate CDM with Christians the more Popular it would be beacause CDM already has the backing of following

1.Most intellectuals regardless of religious affiliations

2. Majority of young people regardless of their religious affiliations

3. Majority of poor Tanzanians regardless of their religious affiliations

The only people who might be spread to other parties is regular players and committed christians who might be seing CDM is their only hope in the world while jesus is their hope in heaven, as well as those who are non educated but want better lives. It is very dangerous for those who are thinking that associating any party with certain religion could serve them well, they are wrong and the last election have proved them wrong, If not NEC manipulations (chakachua) now Tanzania could have been in leadership of CDM. CDM Ain't CUF where they scared christians. People want their lives to improved the rest and not their mosques or churches.

Tunataka ushahidi kwa hili la uchakachuaji kwani Dr. Slaa alituahidi kuwa atatueleza mbinu zote za uchakachuaji kituo kwa kituo na majina ya waliohusika lakini mpaka sasa yupo kimya kuhusu hilo. Vinginevyo tutaamini kuwa hii dhana ya kuchakachua imekaa kisiasa zaidi..
 
Nadhani kweli kuna udini wa uislam na ukristo hapa Tanzania. Watu wamesahau kuwa kuna mamilioni ya wananchi wasioamini katika hizo dini mbili. Hata hizo dini mbili wanazozisema zina madhehebu kibao na siyo wamoja kama wanavyotaka tuamini.
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.
wewe ni mvivu wa kufikiria kama mwenyekiti wako.......mmeng`ang`ania udini badala ya kuangalia hali halisi ya maisha na shida zinazo wakuta wananchi.
 
Back
Top Bottom