hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

Sijui unazungumzia wanaume wa aina gani! Una fikiri wanaume wote ni walevi?au tuna nyumba ndogo? AU hatutaki wake zetu wafanye kazi!au tuna mahouse girls.unazungumzia asilimia ndogo ya wanaume lakini point zako zinaongelea kama wote tupo hivo,labda kutokana na circle ya watu unaoishi nao.najua wapo wengi hawa fit hata point moja kati ulozitaja.
 
..haya kaka!

Nimechekaje?! Kumbe tuko wengi... Ila kifo cha wengi ni harusi!
Hayo masikhara sasa kwenye hiyo namba 13. Xtension ya niniii!!!! Kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Hivi ninavyohodhi ile remote pale home kumbe mama nanihii ananichora tu. This is politically inapropriate bana.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom