hii nikwajinsia zote.

Wanazo, ni kangoz flani juu ya nanhii, so unaponaniliu inakuwa ka Kuvua gamba...
 
hivi unakumbuka siku na saa uliyopoteza bikra yako? Kwa grls ni rahisi kukumbuka, boys kunautata, to be honest mm sikumbuki,,,
hapo kwenye red sijaelewa jinsia yako. Mi kidume Mpwa, hukumbuki siku uliyowapoteza (ke) au ilvyopotezwa? sijaelewa Mpwa nilishawananihiii kama sita hivi....bytheway, inasaidia chochote?
 
saa sikumbuki ila nakumbuka nikiwa nina umri wa miaka miwili nilimdinya binti fulani ambaye sasa ni waziri wa naniliyu
 
hivi wanaume nao wana bikira?
<br />
<br />
Kwa galz ndo hvyo kama ilivyo. Bt boyz huwa na maana ya upana zaidi. Kwa lugha ya picha k2 kikiwa hakija2mika 2nasema bado kina bkra...kwa mantiki hvyo kama a boy atakuwa bado ajaosha rungu,he z termed to b bikira.
 
Ya kwangu nakumbuka niliimalizia kwa House Girl wetu paleee sitting room baada ya watu wote kulala na kipindi hicho ndiyo TV zimeanza kuruhusiwa na watu wachache walianza kuwa nazo na hivyo tulikuwa tunaangalia kwa kipimo na baada ya masaa fulani inazimwa lakini siku hiyo tuliachiwa tuangalie mpaka tuchoke lilikuwa kosa maana HG wetu alijua kucheza karata zake hasa ukizingatia alikuwa mzoefu. Ndivyo nilivyoipoteza na kujuta sana maana nilijiapiza kumpa nitakayemwoa tu lakini sasa LOl!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom