Hii ni zawadi ya pekee na maalum kwa Jakaya Kikwete rais wa Jamhuri ya Muugano ya Tanzania

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
SAM_0953.JPG

Akirejea toka Malawi nadhani hii itampa faraja na muda wa angalau kufikiri kama mtu mzima.
 
hiyo katuni inasema ukweli, maana ameacha mambo ya msingi. UKIONA KWA MWENZIO KUNAUNGUA BASI UJUE KWAKO KUNATEKETEA
 
Imetulia akisoma hii katuni nadhani atafikiria mara mbilimbili. Maana mambo yanaendelea kupamba moto Mh. Mkono kawa Mb wa 74 kuweka sahihi.
 
Masoud anajua kusoma alama za nyakati mpaka noma............
 
I think this tells what kind of senseless leadership we have in Tanzania.I remember when Cameroom got news about Murdoch's news paper saga when he was on Safari,he reversed back home as he thought that was an issue of national interest and that he wouldbe required as head of the government to respond to the issues relating to that.That can not happen in today's Tanzania,atleast not this government.HAIINGII AKILINI your prime minister is on hot soup in the parliament wewe rais unawakilisha nchi msibani! SIDHANI kama JK alikuwa rafiki wa Mutharika zaidi ya marais wengine wote wasiofika msibani .I hope others with urgent and burning issues to attend were represented.H.E Michael Sata was represented by honourable Vice President ,Mr.Guy Scot while Jacob Zuma was represented by Kgalema Motlanthe.In the circumstances,what was wrong for Shein or rather hon. Membe to represent Tanzania.
Inaonekana hii ni tabia ya marais wetu wanapohitajika zaidi wanakuwa bussy na mashghuli mepesi kuliko yanayowahitaji mfano: wakati mgomo wa madaktari anasubiria busara za raisi yeye alikuwa bussy kufungua benki ya FBN yenye asili yake Afrika kusini,huku wananchi wanaangamia,
Pia wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya tatu kulikuwa na dhahama linalo fanana na hilo,madaktari wamegoma na watu wanakufa kweli,viongozi wamefika mahali hawana jibu ya hatua gani wachukue kunusuru hali.Chakushangaza Mwnyi anahudhuria onyesho la Mwanamuziki Kanda Bongoman.
Hii ni hatari.
thank you Masoud for the art but it pains.
 
Back
Top Bottom