Hii ni vita ya Marekani na Russia ndani ya Ukraine

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
430
623
MUHTASARI wa VITA

DEMOCRATS wamekuwa na adui mmoja tuu RUSSIA wanaamini huyu ndiye mtu hatari kwa uwepo wao REPUBLIC wanafanya Kila njia mkato kukaa IKULU na kusukuma AJENDA zao Kibiashara TRUMPH alipojua mpango wa OBAMA kumtumia ZELENSKY akanywa kahawa na PUTIN wakamtorosha DAVID kwenda RUSSIA kupitia LATIN AMERICA secret agent wa USA

Wakawatoa DEMOCRAT kibiashara TRUMPH akajisahau kuwa CHINA no all-time FACTOR kama UINGEREZA akaacha kupokea simu za PUTIN walipokutana nyikani wakiokota Kuni CHINA na RUSSIA wakapeana taarifa muhimu Huku BIDEN anautafuta mlango wa IKULU na anaongea na CHINA

Kwa karibu muafaka ukapatikana PUTIN akampa CHINA file za TRUMPH JI MPING akawa na taarifa zoote sahihi akamwambia BIDEN andaa suti utakuwa RAIS wa MAREKANI KOSA la BIDEN ni mawazo ya zamani kuwa RUSSIA ndiye adui mkuu wakaufufua mpango kazi wao na OBAMA bila kukumbuka kuwa CHINA alikutana na RUSSIA nyikani anaujua walipoamsha POPO wakamkuta PUTIN ameviimba saaaana ....ikawa VITA ya USA na RUSSIA ndani ya UKERENE suluhisho hili litakuwa simple USA na RUSSIA wakikaa na kuacha kuchunguliana bafuni ZELENSKY hawapiganii Wakerene ila tumbo lake na majonzi ya kuamua kuwa ally was mharifu wa mbali badala ya kuwa rafiki wa jirani yake
 
Nimesoma heading tu, ni kweli. Hata Syria, ni Russia na USA ndio walikuwa wanapigana proxy war
 
Acha wavunane hakuna namna japo hata sisi tumeamua kupandisha bei ya nyanya, vitunguu, bamia, kitimoto n.k kisa vita ya Ukraine
 
Russia imepigika wamepabaki na propaganda tu angalia channel ya aljazeera wanajeshi wa urusi wengi ni wadogo walio zaliwa mwaka 2003 na 2006 wamekufa na majeruhi wamekatika mikono wala hawana macho.Very 😥
 
Back
Top Bottom