Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,107
- 18,323
Kuna ubishi nimeona sehemu eti hii reli kwenye picha hapa ni TRC Tanzania. Wakati kuna jamaa wanasema ni TGV France (Train de Grande Vitesse), wanasema imepigwa Grenoble wakati wanaosema ni TRC wanasema imepigwa eti Msoga.
Hii picha inasomekana imepigwa 28th June 2020.
Kukataa mzizi Watanzania acheni uzushi. Africa Mashariki hatuwezi kuwa na reli kama hii ambayo hata South Africa hawana.
Hii picha inasomekana imepigwa 28th June 2020.
Kukataa mzizi Watanzania acheni uzushi. Africa Mashariki hatuwezi kuwa na reli kama hii ambayo hata South Africa hawana.