Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 3,938
- 3,211
Wana MMU hope mmekuwa na siku njema!
Thanks to God hata mimi niko vizuri.
Kuna kitu kimenishtua sana leo jioni. Na hapa bado nina mawazo kibao, kama hii ni suprize ama nadanganywa tu, ni hivi nilikuwa na girlfriend wangu tuliodumu takribani 4years in relationship. Tumeachana kama miezi 5 hivi iliyopita na yeye aliolewa miezi 3 tu! baada ya kutengana na mimi, so inawezekana alikuwa na mipango ya siri hata kipindi mi nikiwa nae. huyo mpenzi wangu alivyoolewa nilimpiga stop kabisa kuwasiliana na mimi, but tokea jumapili iliyopita anajitahidi sana kuwasiliana na mimi ananiandikia msg kibao na kupanga outings ambazo huwa nazireject. Leo kuna kitu kimenishangaza, nimepigiwa simu na huyo mpenzi wangu ananiambia ni mjamzito na ujauzito wake una miezi 6, na mimi ndiye baba wa hiyo mimba! I got shocked. Ikabidi nimpigie simu aniambie vizuri, kanieleza mimba ni yangu, ila ilibidi adanganye ili aolewe!
Hi kitu inanitatanisha sijui nifanye action gani hapa,
Nimemwambia amwambie kwanza mumewe ukwel ndiyo mimi nimwamini.