Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
3,938
3,211
Wana MMU hope mmekuwa na siku njema!

Thanks to God hata mimi niko vizuri.
Kuna kitu kimenishtua sana leo jioni. Na hapa bado nina mawazo kibao, kama hii ni suprize ama nadanganywa tu, ni hivi nilikuwa na girlfriend wangu tuliodumu takribani 4years in relationship. Tumeachana kama miezi 5 hivi iliyopita na yeye aliolewa miezi 3 tu! baada ya kutengana na mimi, so inawezekana alikuwa na mipango ya siri hata kipindi mi nikiwa nae. huyo mpenzi wangu alivyoolewa nilimpiga stop kabisa kuwasiliana na mimi, but tokea jumapili iliyopita anajitahidi sana kuwasiliana na mimi ananiandikia msg kibao na kupanga outings ambazo huwa nazireject. Leo kuna kitu kimenishangaza, nimepigiwa simu na huyo mpenzi wangu ananiambia ni mjamzito na ujauzito wake una miezi 6, na mimi ndiye baba wa hiyo mimba! I got shocked. Ikabidi nimpigie simu aniambie vizuri, kanieleza mimba ni yangu, ila ilibidi adanganye ili aolewe!

Hi kitu inanitatanisha sijui nifanye action gani hapa,
Nimemwambia amwambie kwanza mumewe ukwel ndiyo mimi nimwamini.
 
hapo nadhani nitakuwa sahihi, niongezeeni ushauri tafadhali nichukue hatua gani zaidi?
 
we tafuta kalenda...kumbuka mara ya mwisho lini mlikutana kavu kavu...weka alama..subiri ajifungue...ukiona siku zinaendana fanya mkakati wa kwenda kupima DNA ..hawa wadada wa siku hizi wana mikakati sana...usiamini mtu
 
Mkuu kaa mbali na mke wa mtu. Unajua ile ya u4 safo inapunguzo la bei? Siku hizi sumu na kujitundika imepitwa na wakati. Bastola ndo kila kitu....
 
we tafuta kalenda...kumbuka mara ya mwisho lini mlikutana kavu kavu...weka alama..subiri ajifungue...ukiona siku zinaendana fanya mkakati wa kwenda kupima DNA ..hawa wadada wa siku hizi wana mikakati sana...usiamini mtu

huyu dada kuna siku nilitoa stori kuhusu mimi na yeye kuachana, ni dada ambaye tulipendana sana
 
achana nae tena mwambie hiyo mimba atailea mumewe kitanda hakizai haramu kumbuka kama mbegu bado unazo ya nini kuangaika na mke wa mtu
 
We unavyhc inaweza ikawa ya kwako? kutokna na cku ya mwsho mliyokutna kimwli na hyo mimb ni ya mda gan ucje ukaingia mtegoni
 
hapo kuna mawili, huyu mwanamke tuliachana tu kwa sababu aliona mimi muda wakumuoa bado sijauweka vyema, so sasa japokuwa kaolewa mara nyingi sana anapenda kunialika sehemu mbalimbali nitoke nae ila huwa sikubaliani nae, so kuna uwezekano ananitengenezea mazingira yakunivuta karibu! nimemwambia amweleze kwanza mumewe ukweli then ndiyo nijue chakufanya, kitu kitakachompa wakati mgumu kwasababu alidanganya ili aolewe kwa haraka.
 
Hilo cahnga la macho! ILA DNA SI IPO? Mwambie hununui mbuzi kwenye gunia, mtoto akizaliwa akipimwa vinasaba ndo utatoa tamko!

Mimi nikifikiria haya appettite ya ndoa kwishney! MIEZI 3 TU kashaanza kukitombesha nje!!!!!!!!!!!!!!????????? Like SERIOUSLY!?
 
Hakupata alichokitarajia huko alikokimbilia ndo maana anataka kurud kwa gia za kizaman ili uendelee kula mzigo kuwa nae makin huyo atakuingiza kwny majanga bure
 
Hilo cahnga la macho! ILA DNA SI IPO? Mwambie hununui mbuzi kwenye gunia, mtoto akizaliwa akipimwa vinasaba ndo utatoa tamko!

Mimi nikifikiria haya appettite ya ndoa kwishney! MIEZI 3 TU kashaanza kukitombesha nje!!!!!!!!!!!!!!????????? Like SERIOUSLY!?

Duh! Sijui sijasoma vizuri?? Slow down mama
 
Eh hii kali..pole sana,mke wa mtu sumu kaka angu,mwachie tu ndoa yake ht mume asijue,imagn akijua and haya mawasiliano mnayofanya saiv unafkr nin ktatokea km sio vurugu
 
Wana MMU hope mmekuwa na siku njema!

Thanks to God hata mimi niko vizuri.
Kuna kitu kimenishtua sana leo jioni. Na hapa bado nina mawazo kibao, kama hii ni suprize ama nadanganywa tu, ni hivi nilikuwa na girlfriend wangu tuliodumu takribani 4years in relationship. Tumeachana kama miezi 5 hivi iliyopita na yeye aliolewa miezi 3 tu! baada ya kutengana na mimi, so inawezekana alikuwa na mipango ya siri hata kipindi mi nikiwa nae. huyo mpenzi wangu alivyoolewa nilimpiga stop kabisa kuwasiliana na mimi, but tokea jumapili iliyopita anajitahidi sana kuwasiliana na mimi ananiandikia msg kibao na kupanga outings ambazo huwa nazireject. Leo kuna kitu kimenishangaza, nimepigiwa simu na huyo mpenzi wangu ananiambia ni mjamzito na ujauzito wake una miezi 6, na mimi ndiye baba wa hiyo mimba! I got shocked. Ikabidi nimpigie simu aniambie vizuri, kanieleza mimba ni yangu, ila ilibidi adanganye ili aolewe!

Hi kitu inanitatanisha sijui nifanye action gani hapa,
Nimemwambia amwambie kwanza mumewe ukwel ndiyo mimi nimwamini.

huyo sio mwanamke wa kuwa nae karibu kwa namna yoyote ile... kimbia fasta kabisa, jiulize mko wangapi?
 
Back
Top Bottom