Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo yake.

Otherwise jua unasaidiwa kazi na vidume wenzako, kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ukiwa huna hela ni kufanya scrub ya uso kwa pilipili iliyosagwa na kuchanganywa na maji, lazima ulie tuu, true love tuwaachie wenye hela sie wengine akina wasakatonge tutakuwa tunakata tiketi za kulia.
Pole kijana, shemeji alikutendea vibaya sana.....weka picha yake hapa tumpige madongo
 
siyo kila anaelia mapenzi ni kwasababu ya pesa
hata kufanya uchaguzi usio sahihi wa mwenza ni utumwa vilevile
usitumie pesa kwenye kutafuta amani ya moyo ambia mama msingi siyo pesa
 
Aliokwambia ku secure mapenzi ni pesa tu ndio inahitajika? Mapenzi ni akili inatakiwa itumike vizuri pia. Thus why wenye akili nyingi hawalazimiki kutumia pesa kuwalinda wanawake.

Unatumia akili tu mwanamke anajilinda mwenyewe.
Legendary
 
Naunga mkono hoja mzee.

Akili inahitajika sana bila kusahau uwazi pia.

Mtoa mada inawezekana bado hajaona pisi inahudumia mwamba ambae bado ana hustle kusaka mpunga.

Kwenye mapenzi 1+1 jibu sio lazima liwe2
 
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo yake.

Otherwise jua unasaidiwa kazi na vidume wenzako, kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ukiwa huna hela ni kufanya scrub ya uso kwa pilipili iliyosagwa na kuchanganywa na maji, lazima ulie tuu, true love tuwaachie wenye hela sie wengine akina wasakatonge tutakuwa tunakata tiketi za kulia.
Kweli mzee sie wasaka tonge wacha tukagegede tuu dada poa wa buku tano
 
Mapenzi ni ukweli wewe kuwa mkweli , usijipe majukumu ya mume wakati wewe ni mtu tu! Uliejuana nae masaa machache yaliyopita kikubwa ni tenga muda wa kuwa nae na mshawishi mkutane kwa hiari yake kamwe usimlazimishe
 
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo yake.

Otherwise jua unasaidiwa kazi na vidume wenzako, kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ukiwa huna hela ni kufanya scrub ya uso kwa pilipili iliyosagwa na kuchanganywa na maji, lazima ulie tuu, true love tuwaachie wenye hela sie wengine akina wasakatonge tutakuwa tunakata tiketi za kulia.
pesa sio kila kitu....
 
Back
Top Bottom