Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Kala rushwa sana za Barrick na akina Rostam (Dowans)!
Kibaya zaidi CHADEMA wana-vithibitisho vyote (payment vouchers). Wahindi/Wazungu kiboko!!! yaani kama Rostam alivyofanya kwa Mtikila, unakula rushwa, unasaini payment voucher.
Zitto alipooneshwa uthibitisho ilibidi yeye mwenyewe ajitoe kugombea uenyekiti, ilikuwa ni aibu hadi wafuasi wake wakuu walikuwa discouraged!
Zitto umetusaliti mshikaji, nasikia ghorofa lako Kimara linaenda kwa kasi ya ajabu!