Hii ni Siri Yako!!

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Source: Global Publishers
 
Attachments

  • 1266906219_zitto.jpg
    1266906219_zitto.jpg
    30.3 KB · Views: 625
Umejuaje....ulikua mawazoni mwangu...Zito kimya kingi kinamshindo mkuu, kuelekea kufa ama kufufuka kote kuna mshindo.
 
Kala rushwa sana za Barrick na akina Rostam (Dowans)!

Kibaya zaidi CHADEMA wana-vithibitisho vyote (payment vouchers). Wahindi/Wazungu kiboko!!! yaani kama Rostam alivyofanya kwa Mtikila, unakula rushwa, unasaini payment voucher.

Zitto alipooneshwa uthibitisho ilibidi yeye mwenyewe ajitoe kugombea uenyekiti, ilikuwa ni aibu hadi wafuasi wake wakuu walikuwa discouraged!

Zitto umetusaliti mshikaji, nasikia ghorofa lako Kimara linaenda kwa kasi ya ajabu!
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. nyumbani ni nyumbani i gues, ccm here i come
 
Kala rushwa sana za Barrick na akina Rostam (Dowans)!

Kibaya zaidi CHADEMA wana-vithibitisho vyote (payment vouchers). Wahindi/Wazungu kiboko!!! yaani kama Rostam alivyofanya kwa Mtikila, unakula rushwa, unasaini payment voucher.

Zitto alipooneshwa uthibitisho ilibidi yeye mwenyewe ajitoe kugombea uenyekiti, ilikuwa ni aibu hadi wafuasi wake wakuu walikuwa discouraged!

Zitto umetusaliti mshikaji, nasikia ghorofa lako Kimara linaenda kwa kasi ya ajabu!

kama alipiga ufisadi kiasi hicho basi ana haki aende kwenye chama kinachomfaa na chenye kuaccomodate watu wa aina yake, mengi yatajajulikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom