Hii ni serikali ya kuonea wanyonge?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
Nakatishwa tamaa sana na namna serikali ya awamu ya tano inavyojenga matabaka.

Traffic wameruhusiwa kula rushwa ili kupunguza makali ya maisha waalimu wamezuiwa kufundisha tuisheni iliyokua ikiwasaidia japo kihela cha nauli kuendea kazini.

Inamaana wanyonge ndo hao trafic?
 
Afya njema iwe kwenu wadau.

Hapo zama za kale wahenga walisema njia ya muongo ni fupi.
Kwa kuakisi msemo huu wa wahenga, wakati wa uchaguzi chadema na Ukawa kwa ujumla walijipambanua mbele ya wananchi kuwa ni watu wa mabadiliko. Waliimba na kuaminisha wananchi kuwa wamechukizwa sana na mambo kwenda business as usual serikalini.
Rushwa
Ufisadi
Uzembe kazini Mikataba mibovu Michakato mingi ,
Ucheleweshaji wa viongozi wa serikali kufanya maamuzi.
Yote haya Chadema waliahidi kuyaondoa kabisa kama wakipewa ridhaa ya kuongoza nchi, waliahidi mabadiliko ya kuondoa rushwa na ukiritimba na uzembe kazini. 'Mabadiliko'

Chadema walisikika wakisema mabadiliko hayawezekani ndani ya mfumo wa ccm, yani watu wakichagua ccm watarajie business as usual kwa miaka 5 ijayo.

Naam, ni mwaka sasa tangu Chadema kubwagwa na Ccm kuibuka kidedea.

Kinachoshangaza ni kwamba, chadema waliohubiri mabadiliko kwa nguvu zote, ndio wanaolilia mfumo wa business as usual!!! Chadema ya leo ndio kimbilio na mtetezi mkuu wa Wala rushwa
Mafisadi
Watumishi wavivu
Wafujaji wa pesa za serikali

Michakato ndani ya serikali.

Wauguzi, vijana wanaotukana mitandaoni kimbilio na tumaini lao ni chadema! Huko huchangiwa hadi pesa za faini. !!

Kwa nini chadema imekuwa hivi?

Haya ndio mabadiliko ambayo mngefanya kama mngeshinda uchaguzi??

Chadema ya enzi ya Dr Slaa ilikuwa hivi kweli?

Je makapi ya ccm ndio yameibadilisha chadema??

Karibuni wadau
 
1:4...
 
Back
Top Bottom