Hii ni sawa ktk mashule?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Nimeudhulia maafali ktk shule moja hapa Dar, kilichonisiktisha ni:
-wahitimu wengi walikuwa wamevaa Kata K
-Wahitimu walivaa suti badala ya sare zao
-Maonesho yao wengi walicheza kiduku na michezo ya kunengua na kukata viuno

Ndugu zangu haya ndiyo maadili kutoka kwenye shule zetu?
 
Shule ya vipi? Government, private- christian, islamic, individual etc, then we will comment
 
Shule ni ya private, ni ya day na boarding, na siku hiyo walimualika mgeni rasmi kutoka manispaa ya kinondoni.
 
Back
Top Bottom