young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 710
Nikimsoma huyu Jaji nashindwa kuelewa mawakili wa serikali huwa wanapatikanaje!!
Kwanza nilifikiri huyu Jaji katokea kwa wabobezi wa sheria Kenya!
acha ushabiki na siasa kwenye maswala ya msingi, mawakili wa serikali wanafanya kazi nzuri licha ya maslahi kidogo na mazingira magumu uakufanyia kazi.
n cjui umetumia kigezo gani kusema kenya ni wabobezi wa sheria kwa sababu historical n in practical argument yako ni fallacy