hii ni pombe tu au na bangi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
297566_191609250908747_100001790204434_467720_771355_n.jpg
attachment.php

mwe
 
Nawe umewatowa wapi hawa washikaji? Na mbona ni kama wanajimiminia lager? Kweli "ULEVI NOMAaaaaa" Na bila shaka WANYWAJI tunao humu JF! Lakini nimeendelea kuwareki na nikaona kama si wanakunywa lager ya TBL bali wanaonekana kama wanapata ile kinywaji rahisi kbs ya BANANA WIN na nasikiaga ni hatari sana kama haupo fit kiafya kwani unaweza hata kuvua nguo yote baada ya kunywa kwn yote uliyonayo iwe kimawazo na hata kufikiri inakuwa kama ni mzigo wa Taifa hili la TANZANIA iliyowachosha raia wake. KWELI ULEVI NOMAAAAAAAAaaaaaa!!!!
 
hizi ni athazi za laga za bure,kuna dada mmoja kwenye harusi alikunywa 8 za haraka haraka alikuja kutapika utadhani mvua na kuchafua watu kwenye meza ile utadhani waliogeshwa na matope.
 
Nawe umewatowa wapi hawa washikaji? Na mbona ni kama wanajimiminia lager? Kweli "ULEVI NOMAaaaaa" Na bila shaka WANYWAJI tunao humu JF! Lakini nimeendelea kuwareki na nikaona kama si wanakunywa lager ya TBL bali wanaonekana kama wanapata ila kinywaji ya BANANA WIN na nasikiaga ni hatari sana kama haupo fit kiafya kwani unaweza hata kuvua nguo yote baada ya kunywa kwn yote inakuwa kama ni mzigo wa Taifa hili la TANZANIA iliyowachosha raia wake. KWELI ULEVI NOMAAAAAAAAaaaaaa!!!!
ulevi mwisho kuna mmoja baada ya Yanga kushinda Kagame Cup akaliosha gari lake la kijani kwa bia kama kreti 2 hahaha!
 
ulevi mwisho kuna mmoja baada ya Yanga kushinda Kagame Cup akaliosha gari lake la kijani kwa bia kama kreti 2 hahaha!
<br />
<br />
Best nakwambia hakika ULEVI NI NOMAAAAAA!!!! Hasa ile ya BANANA WIN na bila ya kukosea ina makao makuu ARUSHA kule Kijenge na nahisi huyo Dada pamoja na ushindi aliweka Banana kadhaa kabla ya Mechi.
 
ulevi sio noma mmesahau TBL ndo inaogoza kwa kulipa kodi, hivyo ulevi ndo unajenga bara bara, ulevi unalipa mishahara ya watumishi wa umma, ulevi unalipa ada zenu vyuo vikuu, idumu pombe daima naomba heineken yangu ya baridi nilipe kodi
 
ulevi sio noma mmesahau TBL ndo inaogoza kwa kulipa kodi, hivyo ulevi ndo unajenga bara bara, ulevi unalipa mishahara ya watumishi wa umma, ulevi unalipa ada zenu vyuo vikuu, idumu pombe daima naomba heineken yangu ya baridi nilipe kodi
lete tusker nilipe kodi....
 
Mbona jamaa wa nyuma kama anataka 'kumpanda' huyo wa mbele, beberu style?
Safri laga za moto na bange yenye mbegu nyingi!
 
Back
Top Bottom