hii ni picha au filamu?

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,687
23,568
32382_10152277794850716_144322938_n.jpg
 
Halafu huyo alienae hakatai wingi, anamuangalia tu akijiunga nao(jinsia ya pili).
 
Huyo dada ni host wa kipindi cha celebrity wetu cha TBC na hapo daidomo alikuwa anajipodoa kwaajil ya hicho kipindi
Halafu huyo alienae hakatai wingi, anamuangalia tu akijiunga nao(jinsia ya pili).
 
Yaani Wabongo bana walivyo malimbukeni wa kuiga,na kuiga kwenyewe hawakuwezei yaani utamkuta mwanaume anatumia make up za kike na saloon pia huwaga wanawapodoa wanaume kwa kutumia make up za kike na lipshine za kike pia kama mnabisha angalieni movies nyingi tu za kibongo wanaume wamepakwa mijipona tena ya wazungu wakati kuna vipodozi vya watu wa rangi pia kuna make up za wanaume so acheni ushamba,mara utakuta kidemu ati Bongoflava kimepaka mijimake up ya wazungu na mijirangi flani hivi juu ya kope yaani kama Vampire vile Lol Wabongo bana
 
Huyo dada ni host wa kipindi cha celebrity wetu cha TBC na hapo daidomo alikuwa anajipodoa kwaajil ya hicho kipindi

hata kama ni kipindi ndo apake wanja wa chini ya macho!khaaaaaaaaaaaaaaaaa!mamduchu!hapana kwa kweli!
 
Yaani Wabongo bana walivyo malimbukeni wa kuiga,na kuiga kwenyewe hawakuwezei yaani utamkuta mwanaume anatumia make up za kike na saloon pia huwaga wanawapodoa wanaume kwa kutumia make up za kike na lipshine za kike pia kama mnabisha angalieni movies nyingi tu za kibongo wanaume wamepakwa mijipona tena ya wazungu wakati kuna vipodozi vya watu wa rangi pia kuna make up za wanaume so acheni ushamba,mara utakuta kidemu ati Bongoflava kimepaka mijimake up ya wazungu na mijirangi flani hivi juu ya kope yaani kama Vampire vile Lol Wabongo bana
of oll ze vipodozi ndo apake wanja wa chini ya macho?ptuuu!
 
mtamjuaje kuwa ni mzuri....

haaa!sema weye mtani !yani mi mtoto wa kike najua faida za wanja wa chini ya macho,sasa huyu dume zimaa apaka wanja huu ndo nini!
kungwi wangu wa kimanyema huwa anaseama wanja wa kuutaka radhi uso asubuhi!sasa huyu nae autaka radhi uso?
wap cacico mke mwenza hebu njoo ujionee mijimambo huku! gfsonwin na we ukuje huku mwali uone mijirembo huku!
 
Last edited by a moderator:
Mke mwenza niimekimbia mbiooooooo! Our late hubby alikuwa natural kila idara! Unakumbuka nywele zake??????? The body je???? (rip my da.........) am missing u!
 
katika changamoto tulizo nazo wazazi wa siku hizi hasa tunaolea watoto wa kiume ni juu ya kuwaonyesha nini maana na thamani ya uanaume wao. namna ya kuwafanya wauthamini na kujikubali kuwa wakaka na hata wababa. lol! yaani snowhite wanja kwa mwanaume hupakwa kwenye nyusi na si kwenye kope anataka arembue ili iweje?? angalia aina ya wanja anaopaka, ni wanja wa kungu, huu unamaanisha nini??? mwali napaka ili kuleta macho kumchuzi yaliyojaa machozi yeye anapaka ili kuleta nn??

ee mungu nikuzie klein na wenzie, peke yangu siwez ila najua wewe huwez kushindwa na chochote kile.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom