Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

mabereng'ombe

Member
Nov 22, 2013
70
18
Kwa wale ambao walisoma mkasa wa baa maarufu iliyoko Temeke Wailes iitwayo Junction Pub au Makalio Bar kama inavyofahamika na wengi, hii ni sehemu ya pili ya vituko vya baa hiyo.
Wiki hii nilipita tena katiba baa hiyo na kugundua kuwa Wahudumu wa baa hiyo licha ya kwamba wanavaa visketi vifupi lakini pia hawana chumba cha kubadilishia nguo yaani gheto kama ilivyo kwenye baa nyingine.
Wanachofanya wahudumu hao ikifika saa ya kuingia kazini yaani dakika chache kabla ya saa kumi jioni, wahudumu wanajibanza karibu na choo na kubadilisha nguo kweupee.
Kuonyesha chupi au matiti kwa wateja ni jambo la kawaida kwa wahudumu wa baa hii. Watu wengine kumbe wanakuja kwenye baa hii kusafisha macho; kuangalia mabumunda na mtindi. Kaazi kweli kweli...!
 
.................duh, location ulipo ni karibu kabisa na bar inayotajwa. Wikend ya vituko ha hahahah:eyeroll1:

Hapa nimezungukwa na makanisa na msikiti. sipati utukufu wa shetani kabisa.
 
Mimi napajua. Ukitaka kufika panda gari shuka Temeke Hospitali; fuata barabara ya lami iendayo uwanja wa taifa. Mbele baada ya shule ya Wailesi kuna baa ya makuti mkono wa kushoto. Pembeni yake ndio kuna hiyo baa ya wahudumu wanaokaa uchi. Watu wengi wanapapenda sana kwenda kuona vitumbua vilivyojaa kwenye chupi.
 
Hakika wewe u kijana mwema sana. Leo ntakufanyia maombi.
 
Kaaazi kweli kweli, ntakua hapo kesho wish to see zosi mabumunda...
 
Ikifika saa tatu ndio balaa maana wahudumu wanakaa juu ya mapaja ya wanaume. Wale mabingwa wa kunawa hapo ndio kambi yao.
 
Back
Top Bottom