mabereng'ombe
Member
- Nov 22, 2013
- 70
- 18
Kwa wale ambao walisoma mkasa wa baa maarufu iliyoko Temeke Wailes iitwayo Junction Pub au Makalio Bar kama inavyofahamika na wengi, hii ni sehemu ya pili ya vituko vya baa hiyo.
Wiki hii nilipita tena katiba baa hiyo na kugundua kuwa Wahudumu wa baa hiyo licha ya kwamba wanavaa visketi vifupi lakini pia hawana chumba cha kubadilishia nguo yaani gheto kama ilivyo kwenye baa nyingine.
Wanachofanya wahudumu hao ikifika saa ya kuingia kazini yaani dakika chache kabla ya saa kumi jioni, wahudumu wanajibanza karibu na choo na kubadilisha nguo kweupee.
Kuonyesha chupi au matiti kwa wateja ni jambo la kawaida kwa wahudumu wa baa hii. Watu wengine kumbe wanakuja kwenye baa hii kusafisha macho; kuangalia mabumunda na mtindi. Kaazi kweli kweli...!