Hii ni ndoto tu ,don't take it serious

accused

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,496
2,740
Wakuu kwema.
This is just a dream na msichukulie kivile na pia isiitwe uchochezi..

Kwa mwenendo wa utendaji wa mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw Ali Hapi ni dhahiri kua muda wowote kibarua cha John Mongela ama Amos Makala kipo matatani ,either kwa kupangiwa kazi nyingine au kwa kutafutiwa kisa cha kutengua teuzi.

Kwa nimjuavyo mkuu wa nchi yangu, muda wowote Ali Hapi anaeza kabithiwa kiti cha mkuu wa jiji la Mwanza au Mbeya.

Ni ndoto tu...
 
Kwani wewe hujui kuwa kwa TZ ya awamu ya 5 kuelezea ndoto yako kwenye Public ni kosa la Jinai?

Kama ulikuwa hulijui hilo hebu wasiliana na Godbless Lema akupe hint kidogo kuhusu hilo.
 
Wakuu kwema.
This is just a dream na msichukulie kivile na pia isiitwe uchochezi..

Kwa mwenendo wa utendaji wa mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw Ali Hapi ni dhahiri kua muda wowote kibarua cha John Mongela ama Amos Makala kipo matatani ,either kwa kupangiwa kazi nyingine au kwa kutafutiwa kisa cha kutengua teuzi.

Kwa nimjuavyo mkuu wa nchi yangu, muda wowote Ali Hapi anaeza kabithiwa kiti cha mkuu wa jiji la Mwanza au Mbeya.

Ni ndoto tu...

Ni kweli kabisa,Mkullu hataki kabisa wateule wake wafanye kazi na Wapinzani.
 
Back
Top Bottom