Hii ni Nchi yetu, sio ya Wakwere au CCM

E

ezra1504

Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
55
Likes
0
Points
0
E

ezra1504

Member
Joined Nov 2, 2010
55 0 0
Haiingii akirini mwenyekiti wa tume anapohojiwa na BBC kuhusu utangazaji wa matokeo ktk ngome za CCM na CUF huku wakikwepa majimbo aliyoongoza Dr.Slaa anasema wao wanayatoa straight yanapoingia so hawana upendeleo. Then jana alipoulizwa kwa nini matokeo yaliyotolewa ni tofauti na yale aliyonayo Dr.Slaa, akasema ni kweli aliyonayo Dr.Slaa yako sawa ila wao wakipokea wanayahakiki ndo wanatoa hadharani. masanduku ya kura yapo Musoma, wewe umeletewa report, Kikwete-200, Slaa-12, sasa hapo unahakiki nini badala ya kutangaza?Kwa nini wamewakataza viongozi wa majimbo wasitoe matokeo?Walijua wakitoa tofauti wananchi watawamaliza na wakiyatolea Dar, anashinda mtu wao then wanamuapisha akishashika dora kazi imeisha, hawa makafiri ht wakiandamana tutawakamua watakufa baadhi lakini baadae watatulia. Only God will judge us but hii haivumiliki, something must be done to rescue our country.
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
19
Points
135
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 19 135
Haiingii akirini mwenyekiti wa tume anapohojiwa na BBC kuhusu utangazaji wa matokeo ktk ngome za CCM na CUF huku wakikwepa majimbo aliyoongoza Dr.Slaa anasema wao wanayatoa straight yanapoingia so hawana upendeleo. Then jana alipoulizwa kwa nini matokeo yaliyotolewa ni tofauti na yale aliyonayo Dr.Slaa, akasema ni kweli aliyonayo Dr.Slaa yako sawa ila wao wakipokea wanayahakiki ndo wanatoa hadharani. masanduku ya kura yapo Musoma, wewe umeletewa report, Kikwete-200, Slaa-12, sasa hapo unahakiki nini badala ya kutangaza?Kwa nini wamewakataza viongozi wa majimbo wasitoe matokeo?Walijua wakitoa tofauti wananchi watawamaliza na wakiyatolea Dar, anashinda mtu wao then wanamuapisha akishashika dora kazi imeisha, hawa makafiri ht wakiandamana tutawakamua watakufa baadhi lakini baadae watatulia. Only God will judge us but hii haivumiliki, something must be done to rescue our country.
Acha upotoshaji wewe, Jaji makame hakusema ya slaa yako sahihi, ila hayajahakikiwa. Usidhanie nafasi ya Urais ni mchezo ww lazima wawe makini sana kwenye kutangaza. Na hii sio Tz tu nchi nyingi sana zinafanya hivyo. Anashinda mtu ambae wengi wamemchagua na kumbukeni kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, acheni upuuzi wenu kuweni wastaarabu.
 
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
349
Likes
24
Points
35
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
349 24 35
Kaka Punguza Munkari.Naomba uondoe neko kafiri katika post yako maana linaleta ladha isiyo sahihi.Naamini Hakuna chama cha kididni wala kikabil.Sisi waa JF ni Great thinkers,hatukubali hoja nyepesi za kutugawa watanzania.Nimeshasema katika post zilizotangulia,kama hali hii ya kutumia propaganda za udini na ukabila zikiendelea,soon tutakuwa kama Nigera.Kwa nnn umchukie mtu kwa sababu tu anaamini tofauti na wewe unavyoamini??Si sawa na haikubaliki.Ukweli ni kuwa kina kinana na wengine walitumia kigezo cha udini na ukabila kwa lengo la kuataka ku influence ushindi wa chama chao,ila ku undo psycho effect waliyopandikiza katika vichwa vya hao wapiga kura woa ambao wengi ni mbumbumbu sio rahisi kama wanavyodhani.Kama Tanzania tungekuwa wabaguzi,Kinana asingekuwa nchini kwa sasa maana si mtanzania by origin.Dhambi ya ubaguzi ambayo CCM wametumia kama mbinu ya kupata kura ni chafu na ina madhara makubwa sana kwa taifa.Wasiokuwa na macho wataona ilikuwa kampeni tu,ila wenye macho ya ubongoni tayari wataona kuwa kuan mbegu inapandwa,siku ikizaa Tanzania haitakuwa ile ya watu wanaopendana, wasioulizana didi wala kabila.
 
D

dotto

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
1,721
Likes
19
Points
135
D

dotto

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
1,721 19 135
Acha upotoshaji wewe, Jaji makame hakusema ya slaa yako sahihi, ila hayajahakikiwa. Usidhanie nafasi ya Urais ni mchezo ww lazima wawe makini sana kwenye kutangaza. Na hii sio Tz tu nchi nyingi sana zinafanya hivyo. Anashinda mtu ambae wengi wamemchagua na kumbukeni kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, acheni upuuzi wenu kuweni wastaarabu.
KAuli ya Mungu sio kuiba pesa Bank Kuu - a.k.a EPA kwa ajili ya Kuhonga uchaguzi. Ndio maana kwa miaka Mitano hana kitu alicho kifanya kama ilivyo kwa BEN. LAANA HIYO. Usimtumie Mungu kwa mambo ya kitapeli na ujinga. Ulegee kabisa.
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,445
Likes
388
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,445 388 180
NEC ni matairi ya ccm. wapo radhi kupitishwa kwenye tope hata kijibimbirisha kwenye vinyesi ilhali dereva akelekeza gari huko
 
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
349
Likes
24
Points
35
marshal

marshal

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
349 24 35
Acha upotoshaji wewe, Jaji makame hakusema ya slaa yako sahihi, ila hayajahakikiwa. Usidhanie nafasi ya Urais ni mchezo ww lazima wawe makini sana kwenye kutangaza. Na hii sio Tz tu nchi nyingi sana zinafanya hivyo. Anashinda mtu ambae wengi wamemchagua na kumbukeni kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, acheni upuuzi wenu kuweni wastaarabu.
Mstaarabu ni yule amabe anakubali kuwa watu wanawaza na kutenda tofauti kulingana na utashi wa fikra zao.Na mpuuzi ni mtu ambae hatilii maanani kitu chochote kilichombele yake.Sasa wewe na huyo alietangulia ni nani mpuuzi na aisekuwa na ustaarabu.Hatuongelei Sauti ya wengi ama wachache,tunachoongelea brother ni haki hata kwa minorities.Basi nyie wengi mtambue kuanwachache ambao hali yao lazima itambulike.
Hatuwezi kuongozwa na matakwa ya vyama,bali matakwa ya wananchi.Kwanza angalia asilimia ya watanzania waliopiga kura ni kiasi gani kwa idadi yote ya wananchi.Je inafika 40%au hata 30%.Sasa huwezi kusema 30% ya watanzania ni sauti ya wengi!Unajipa jina zuri Genius Brain but your thinking is rather negative to ya name!Please kama unahoja nyepesi nenda facebook huko ndio kuna watu wanaopenda kujadili kama wewe.This is home of great thinkers,we should respect the this forum by discussing influencial issues.We have alot of social networks that we can use to air out light issues!!
 
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Messages
1,141
Likes
12
Points
0
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2009
1,141 12 0
Acha upotoshaji wewe, Jaji makame hakusema ya slaa yako sahihi, ila hayajahakikiwa. Usidhanie nafasi ya Urais ni mchezo ww lazima wawe makini sana kwenye kutangaza. Na hii sio Tz tu nchi nyingi sana zinafanya hivyo. Anashinda mtu ambae wengi wamemchagua na kumbukeni kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, acheni upuuzi wenu kuweni wastaarabu.
Wale wale.....uhai wako katika forum unaonyesha kwamba umetumwa wewe ni ndio timu ya Miraji na kazi zenu zisizo na baraka za Mungu. Subirini siku yenu inakuja na ukombozi ni lazima.
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
207
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 207 160
NEC ni matairi ya ccm. wapo radhi kupitishwa kwenye tope hata kijibimbirisha kwenye vinyesi ilhali dereva akelekeza gari huko
NEC yenyewe si inawekwa na raisi aliye madarakani!!
Obvious ni lazma iwe matairi ya boss wao aliyewaweka madarakani.
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,677
Likes
1,846
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,677 1,846 280
Kaka Punguza Munkari.Naomba uondoe neko kafiri katika post yako maana linaleta ladha isiyo sahihi.
Mkuu kama wewe ni JIKAFIRI utabaki kuwa KAFIRI tu hata iweje! Labda uhamie kwenye dini ya haki.
 
Forum statistics

Threads 1,205,839
Members 458,115
Posts 28,207,459