Hii ni namba ya wapi?

Shalom,
Jana majira ya 19:21 jioni namba hiyo hapo nilikuta imenipigia (Missed call) kupitia line yangu ya Vodacom, nilijaribu ipigia naambiwa namba upigayo haipo.

Je, kuna yeyote humu jamvini alishawahi pigiwa na namba hiyo?
Kwa Code inaonekana ni namba ya Tanzania japo ukipiga unaambiwa haipo..

SWALI : je, kuna yeyote humu JF alishawahi kupigiwa na namba hii :

+255255620120253 ?
Hiyo ni namba ya Ikulu....ulipigiwa kupewa UDC au URC, unaona dharau zako zilivyokuponza?
 
Mimi kuna hii imenisumbua sana karibia kila siku inapiga nikipokea inakata ila kwenye simu yangu inaandika from comoro +269 393 11 05
 
mbona nimeichek inapatikana
Screenshot_20210628-113653_Messages.jpg
 
Back
Top Bottom