Hii ni mbwa kachoka au kagoma kwenda?!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Mbwa kachoka.jpg
Mbwa kachoka?
 
E bwana umenishitua?
Nilidhani umeleta picha halisi ya mbwa kachoka.

Mbwa kachoka ni neno zito,
wala halina uhusiano na kuchoka,

Ni moja ya staili kwenye majambozi
 
Kwa jinsi mawazo yetu yalivyo tofauti, hiyo title itafanya watu wengi wafungue hii picha! Wakitegemea yaleeee..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom