Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Jun 29, 2021
215
485
1628099304222.png

Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
 
mchemsho ndio afya sasa😋iko poa sana tena kwa ugali lainiiii...
 
Kwa jinsi maisha yalivyo pika chakula haijawahi tokea.
Angali Petrol licha ya kupaa bei inawezekana kununulika
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom