HII NI MAALUMU KWA WATUMIAJI WA VYOO VYA KISASA, JE MNAKAGUA?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
vllkyt1e10k5hpujr8.a3d9fce5.jpg

Hii imetokea Nigeria. Nyoka amemtoa damu ya kutosha msamaria mmoja ambaye alikimbizwa hospitalini. Vipi ingekutokea wewe?
 
Hivi inakuwaje ukae kwenye choo bila kukiangalia!hata kama single,labda kama unaharisha.
 
Back
Top Bottom