Ngonalugali
JF-Expert Member
- Jan 12, 2008
- 659
- 102
Kuna mdada mmoja nimezoena nae kwa mwaka sasa na tumekuwa na mawasiliano ya karibu sana.
Sikuwa namjua dada huyo ila baada ya kufika kazini kwake na kuhudumiwa nilijikuta navutiwa kuwa nae karibu. Siku moja nilifika kazini kwake na kumuomba namba ya simu ambapo alinipa. Baadae nilimpigia tukapanga kukutana kwa ajili ya mazungumzo.
Ni dada mcheshi na anaejiamini sana, anajiamnini mpaka mimi Napata wasiwasi kwani unaweza mpigia simu jioni akakwambia anakuja na akaja saa mbili usiku ukimuuliza vipi mbona usiku umeshaingia anakwambia mbona bado mapema. Mara nyingi huwa napenda tukimaliza kuzungumza nimpeleke kwao ila yeye huwa anakataa na kudai anamiadi na marafiki zake kwa hiyo huniomba nim-drop kwa marafiki.
Mimi huwa najiuliza kwa mida ya kama saa nne usiku ama tano binti inawezekanaje akawa barabarani?
Hilo halikunipa shida sana kilichonifanya nipost uzi huu ni tabia yake ya kuwa na mawasilianoo ya karibia kila mtu anayepita ofisini kwao, mind you sio namba ya ofisi ni namba yake binafsi.
Na mara nyingi wateja wanapofika ofisini hutaka kuhudumiwa na yeye tu ingawa hayuko kwenye kitengo hicho na hiyo inamuweka karibu na kila anayependa kuwa karibu na mwanamke mrembo.
Mimi namuona kama mtu ambaye ni vulnerable kwa wazee wa sukari kwani kama anaitika kirahisi na kupokea vizawadi anavyopewa kuna uwezekano akawa analipa fadhila kimtindo.
Je, msichana mwenye mawasiliano na karibia kila mwanamme mjini mwenye pesa za matumizi anaenda na wakati ama ni Malaya?