Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

Ngonalugali

JF-Expert Member
Jan 12, 2008
659
102
Kuna mdada mmoja nimezoena nae kwa mwaka sasa na tumekuwa na mawasiliano ya karibu sana.

Sikuwa namjua dada huyo ila baada ya kufika kazini kwake na kuhudumiwa nilijikuta navutiwa kuwa nae karibu. Siku moja nilifika kazini kwake na kumuomba namba ya simu ambapo alinipa. Baadae nilimpigia tukapanga kukutana kwa ajili ya mazungumzo.

Ni dada mcheshi na anaejiamini sana, anajiamnini mpaka mimi Napata wasiwasi kwani unaweza mpigia simu jioni akakwambia anakuja na akaja saa mbili usiku ukimuuliza vipi mbona usiku umeshaingia anakwambia mbona bado mapema. Mara nyingi huwa napenda tukimaliza kuzungumza nimpeleke kwao ila yeye huwa anakataa na kudai anamiadi na marafiki zake kwa hiyo huniomba nim-drop kwa marafiki.

Mimi huwa najiuliza kwa mida ya kama saa nne usiku ama tano binti inawezekanaje akawa barabarani?
Hilo halikunipa shida sana kilichonifanya nipost uzi huu ni tabia yake ya kuwa na mawasilianoo ya karibia kila mtu anayepita ofisini kwao, mind you sio namba ya ofisi ni namba yake binafsi.

Na mara nyingi wateja wanapofika ofisini hutaka kuhudumiwa na yeye tu ingawa hayuko kwenye kitengo hicho na hiyo inamuweka karibu na kila anayependa kuwa karibu na mwanamke mrembo.

Mimi namuona kama mtu ambaye ni vulnerable kwa wazee wa sukari kwani kama anaitika kirahisi na kupokea vizawadi anavyopewa kuna uwezekano akawa analipa fadhila kimtindo.

Je, msichana mwenye mawasiliano na karibia kila mwanamme mjini mwenye pesa za matumizi anaenda na wakati ama ni Malaya?
 
dah mkuu huyo dada ni mhage ya mbeya kabisa haiwezekani ukawa na marafiki wengi wa kiume bila kua na interest yeyote nao tena wale wenye fedha achana nae kabisa usije liwa kiboga bhureeee
 
She's been too social labda hajui kuweka limits....neno malaya duuh kubwa na ni mbali sana kulitumia kama humjui vizuri mtu

Unafikiri neno gani ni zuri kutumika hapo?? Sijakusudia kumtukana ila naona kama mwenendo wake unatia mashaka
 
....yupo mmoja wa benki flani hapo dar yeye alikuwa anahakikisha anammiliki mteja hata kama anahudumiwa na mtu mwingine atatafuta mwanya akuchomoe uende kwake. Mbaya zaidi akitokea mzungu hatakaa mpaka aongee naye. Nahisi wanawake wa hivi huwa na kipaji cha kutumika...
 
Kama anafanya kazi kinondoni namjua. Sio malaya ila watu kama 4 wanamla kwa utaratibu mzuri - uki join utakuwa watano
 
hahahaha umenikumbusha kitu daah.
Amini usiamini huyo dada sio malaya hata kidogo,isipo kuwa yupo social sana na kila mtu lakini haimaanisha ni malaya.
Tena unaweza kuta yupo na boy wake mmoja tu na katuliaa
 
Hilo la kuwa na boy wake mmoja nina mashaka nalo!!!! uwe na boy mmoja afu ukiitwa na mwanamme yeyote yule unaitika na katika mazingira yoyote. Iwe hotel ataenda, iwe barabarani ataenda ilimradi anajua jamaa ana change
 
mjini hape..ukijichanganya kidogo tu unapigwa chenga ya akili..then unakuja JF na uzi ukilia
 
Kubali wito kataa vitendo,
Alafu kunakitu megundua kutoka kwako na usiniulize kipi
Hilo la kuwa na boy wake mmoja nina mashaka nalo!!!! uwe na boy mmoja afu ukiitwa na mwanamme yeyote yule unaitika na katika mazingira yoyote. Iwe hotel ataenda, iwe barabarani ataenda ilimradi anajua jamaa ana change
 
Kwanu unataka kumuoa?mmekutana kimjini pata mahitaji yako kimjinimjuni ikiwa vip unachapa lapa...maana uwa sielewi kwanin umchunguzechunguze saana mtu ambaye ni wa kupita tu...akiwa kwako malizana nae akiondoka achana nae endelea na yako.
 
....yupo mmoja wa benki flani hapo dar yeye alikuwa anahakikisha anammiliki mteja hata kama anahudumiwa na mtu mwingine atatafuta mwanya akuchomoe uende kwake. Mbaya zaidi akitokea mzungu hatakaa mpaka aongee naye. Nahisi wanawake wa hivi huwa na kipaji cha kutumika...
TPB askari monument kuna dada huwa simuelewi, anajua kila mtu. Akikuona tu lazma akupungie na kukusalimia, mwanzo nilihisi ni customer care yake nzuri lakini kila nikiingia mmmh!
 
Back
Top Bottom