Hii ni kweli?

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wakuu,
Hii mikoa tajwa ni kweli wanajibinua hivi?

Karibu kwa maoni...
IMG-20190209-WA0024.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha.

Nyie watu bhana. Kwa hiyo huyu jirani yangu mmachame anamfanyia hayo???hahah
 
Akina manka mnatutia aibu kwakweli,
Utafikiri nyie sio watanzania banaaaa,
Hebu kuweni wazalendo ndugu zangu.

Maendeleo hayana chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom