REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Dah aisee this should not suppose to happen for sure pamoja na changamsha soga humu ndani kati ya Tanzania and Kenya lakini siku zote nilijua zile pictures za Turkana ni za very long time ago
Sijajua kumbe hii hali ipo realistic even today, nimecheki hii picture kwenye wall ya Sonko kwa kweli imenikifu sana na sijategemea kama bado Africa tupo backward hivi nilijua ni kipindi kile cha Somalia na Ethiopia kumbe mpaka leo watu bado wanateseka hivi sababu ya njaa, Dah I don't know how I can help this 😢