Hii ni kweli Kenya?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Dah aisee this should not suppose to happen for sure pamoja na changamsha soga humu ndani kati ya Tanzania and Kenya lakini siku zote nilijua zile pictures za Turkana ni za very long time ago

Sijajua kumbe hii hali ipo realistic even today, nimecheki hii picture kwenye wall ya Sonko kwa kweli imenikifu sana na sijategemea kama bado Africa tupo backward hivi nilijua ni kipindi kile cha Somalia na Ethiopia kumbe mpaka leo watu bado wanateseka hivi sababu ya njaa, Dah I don't know how I can help this 😢

20190317_172825png.png
 
Kenya you should come up with this infrastructures, I don't know if you have of the oldest one but this is suitable for the area of unreliable food security, though in Tanzania these things are established for business purposes especially to sell to the WFP that one could feed 3 regions but we have more than 10, your leaders should come with concrete solutions to tackle the tragedy, 7 people already dead

D1il6mXXgAEJ77Y.jpeg

View attachment 1047792

Sasa hivi vihenge hata wakijengewa watahifadhi nini?, tatizo ni chakula hawazalishi cha kutosha kula wao wenyewe, hicho cha akiba wakipate wapi?, walianzisha mradi mzuri Sana na wa maana Sana wa Galana Kulalu, serikali ilitoa pesa nyingi Sana, lakini kama kawaida ya Wakenya, mipango mingi lakini hakuna kinachofanyika na hakuna anayewajibishwa kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 people have already died, those pictures are of people who though hungry are still alive and can be saved..
Do not compare corpses with the living, the situation is much worse at turkana

Old pictures.
That said, Turkana receives 14 billion annually. The most of any county.
It's a county of few people, yet it can't use all those billions to feed itself? Who is to blame?

Also, I think its time they abandon their way of life or perish.
How can you still be nomadic pastrolists in the 21st century. Settle down and work hard.
 
Na kweli sababu mpaka serikali ifikie hatua ya kutoa ruzuku kwa flour mills ili tu wa standardise bei ya unga iwe affordable kwa wananchi zaidi ya million 45 basi lazima hali ipo tete.
 
Dah aisee this should not suppose to happen for sure pamoja na changamsha soga humu ndani kati ya Tanzania and Kenya lakini siku zote nilijua zile pictures za Turkana ni za very long time ago

Sijajua kumbe hii hali ipo realistic even today, nimecheki hii picture kwenye wall ya Sonko kwa kweli imenikifu sana na sijategemea kama bado Africa tupo backward hivi nilijua ni kipindi kile cha Somalia na Ethiopia kumbe mpaka leo watu bado wanateseka hivi sababu ya njaa, Dah I don't know how I can help this 😢

View attachment 1047723
Southern Ethiopia,,,
 
Old pictures.
That said, Turkana receives 14 billion annually. The most of any county.
It's a county of few people, yet it can't use all those billions to feed itself? Who is to blame?

Also, I think its time they abandon their way of life or perish.
How can you still be nomadic pastrolists in the 21st century. Settle down and work hard.
Would you rather social media to show pictures of dead people? They are very kind to show living people who can be saved
 
9 people have already died, those pictures are of people who though hungry are still alive and can be saved..
Do not compare corpses with the living, the situation is much worse at turkana
Hii ni hatari na mbaya sana kwa nchi kama Kenya,you guys where are you..?
 
Ngoja wanahesabu namba ya Wakenya ambao ni milionea, na wanahesabu idadi ya skyscrapers zinazojengwa, kwao hizo Ndio vigezo vya utajiri na maendeleo. Sasa hivi utasikia "Kshs is the strongest, our GDP the gap is widening, we are middle income, subiri waje na upupu wa sifa za kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom