Isiwe sababu ,wala msiige.sio salama,ila kidunchu unaweza kuepuka kwa bahati tu,sasa kwanini uchezee maisha yako kamari kama kweli huna kichaa..kumbuka sio lazima michubuko tu.hata wingi wa hao wayahudi, katika eneo inachangia.kuna magonjwa yanayosababishwa na kutovaa buti kama ,herpes,human papillomavirus, kupata maambukizi kwa virus wapya ambao bado kujulikana.kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa stds nk.tukumbuke pia kwamba gonjwa hili bado ndo kwanza wataalamu wanalifanyia utafiti ,na kwahiyo bado kuna mengi ambayo tunasubiri kuyajua.kwa ujumla kila mtu ajue hakuna maisha mengine usipojitunza afya yako hapa duniani.utamu usikuponze,hata asali ni tamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.