Hii ni kweli au ni imani yetu tu? (wakubwa tu)

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Inasemekana mkulima au wakulima wawili wenyejinsia 2 tofauti....kama analima au wanalima bila kuvaa buti miguuni kwenye shamba la tope
la fwaka...fwaka...fwaka ni vigumu sana kupata ukimwi hata kama watalimana kwa saa moja au hata mawili. Na pia inasemekana kama wata
limana kwenye shamba la udongo mgumu uliokauka nato...nato...nato bila kuvaa buti ni rahisi sana kupata ukimwi hata kama watalimana
kwa dk 2 au hata dk 1. - Je, hii ni kweli au ni imani yetu tu?......

Haya wakubwa wote karibuni tuidadavue hii kitu....watoto wote mkacheze nje
 
ukimwi unambukizwa kwa kupitia frictions. kwa hiyo kuna ka ukweli kidogo ila siwezi certify how long one should lima or how wet one should be...
 
Haihitaji PHD mkuu,majimaji kutoka hayo mashamba yana VVU wakutosha tu.Lakini hii ingeenda Jamii DR ingekuwa safi zaidi
 
avatar18566_4.gif

Mkuu mrudishe yule jamaa mwingine alikuwa anafaa na anpendeza zaidi, yaani yule ndio Katavi wa kweli huyu naona amesingiziwa
 
Lakini saa nyingine mnamchokoza nyie wenyewe
Kweli kabisa, dada wa watu sometimes anakuwa anashuka point za maana lakini jamaa wengine sijui vipi wakiona jina lake tu lazima wamcrash hata kama kaongea point..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom