Hii ni kwa wataalamu wa biology???

Kuna maswali mengine mpaka najishangaa kwanini nimesoma
Au hukumaanisha ulichoandika?
 
Ndiyo wewe utapata mtoto bila shida, sababu wewe siyo mtoto wao...

Wao hawana huwezo wa kupata mtoto... hawajakuzaa wewe...



Cc: mahondaw
 
kama wewe ni mtoto wa jirani ya wazazi wako tegemea kupata watoto kwa jirani yako hiyo ni kwa mujibu wa biology GENETIC sikumbuki ni form 3 au 4
eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom