Hii ni kwa wanawake wenye matatizo na uzazi

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari njema ziwafikie wanawake wote mlio na matatizo ya uzazi.

Wanawake wanaohusika na huu uzi ni wale wenye matatizo yafuatayo.

1. Kudaka mimba alafu hazifiki miezi tisa zinatoka

2. Kupata mtoto alafu bahati mbaya kila ukijifungua

3. Kupata mtoto alafu hufariki kabla hata ya mwaka mmoja

4. Kutokushika kabisa ujauzito. Ila isiwe kwa kutokana na
1. Kutoa ujauzito
2. Kuugua magonjwa ya zinaa
3. Kutolewa uzazi
4. Kufanya sana ngono mpaka kupelekea uzazi kusogezwa

Karibuni tuje tuzungumze ili tumalize kabisa hilo tatizo
 
Ndio umeishia hapa mkuu??
 
Hapa Ma Dr Ndio watoe Ushauri Jinsi ya Kukabiliana na Chanagamoto hizo na Ladies watoe experience yao kwenye hayo.
 
Back
Top Bottom