Hii ni kwa wanawake tu, gym ya kuongeza makalio hii hapa

usidanganye watu mkuu,hapo sana sana atakuwa na shoulder kubwa ka mwanaume
 
usidanganye watu mkuu,hapo sana sana atakuwa na shoulder kubwa ka mwanaume

kaka huoni anajitahidi kupiga zoezi lakini inaonekana kijungu ndio kinaongezeka au huoni mkuu kama kijungu is getting bigger and bigger
 
Nahisi anakaribia kuchafua hali ya hewa kwa hayo mazoezi, Maana unyanyuaji wa namna hiyo ni hatari na si kweli utaongeza makalio
 
Back
Top Bottom