Hii ni kwa wanaume tu ambao hawajaoa

DissDotCom

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
395
268
Habari wakuu..
Leo tuzungumzie swala la baadhi ya marafiki ambao ni maarufu kwa kutibua mipango, najua wengi limeshawatokea hususani kabla ya kuoa.

Hivi unakuta una promise na demu wako na anakuja lakini kuna rafiki yako ambaye atakuganda kila unapokwenda hata ukionesha wazi nia ya kumtoroka..!! Mara binti anakuja gheto na rafiki yako nae yupo nyuma haachi hata nafasi, harafu anaongea mazungumzo ambayo hayana hata tija.

Unazuga mwisho unamwambia akupishe uongee na shemeji yake hapo ndio anatoka kwa shingo upande, baada ya dk 15 anagonga mlango kwa fujo na kuita jina lako kwa aibu unatoka kisha anakuuliza kama una salio kwenye simu ampigie rafiki yake, unampa simu lakini yeye haondoki anarefusha maongezi mareeefu... mara anakuuliza bado tu....!

MARAFIKI HAWA SANASANA NILIKUTANA TABORA..SIJUI HUKU DAR KAMA WAPO?
 
Ukiona rafiki kama huyo si rizk na yeye anataka kuliwa cha kufanya unamtoa demu unamwambia aingie yeye sasa zamu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kila mtu akae kwake. Mambo ya kutembeleana ni ya kizamakni. Kama uataka kuonana na friends basi mkaae bar.

Gheto ni kwa kukaa na manzi tuu

Push to Start
 
Habari wakuu..
Leo tuzungumzie swala la baadhi ya marafiki ambao ni maarufu kwa kutibua mipango, najua wengi limeshawatokea hususani kabla ya kuoa.

Hivi unakuta una promise na demu wako na anakuja lakini kuna rafiki yako ambaye atakuganda kila unapokwenda hata ukionesha wazi nia ya kumtoroka..!! Mara binti anakuja gheto na rafiki yako nae yupo nyuma haachi hata nafasi, harafu anaongea mazungumzo ambayo hayana hata tija.

Unazuga mwisho unamwambia akupishe uongee na shemeji yake hapo ndio anatoka kwa shingo upande, baada ya dk 15 anagonga mlango kwa fujo na kuita jina lako kwa aibu unatoka kisha anakuuliza kama una salio kwenye simu ampigie rafiki yake, unampa simu lakini yeye haondoki anarefusha maongezi mareeefu... mara anakuuliza bado tu....!

MARAFIKI HAWA SANASANA NILIKUTANA TABORA..SIJUI HUKU DAR KAMA WAPO?
Inabidi ule msosi mbele yake akomee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom