P pori Member Mar 12, 2010 86 12 Mar 14, 2010 #2 mhhh! picha hizi zimenikumbusha mbali kuh masualla ya senene na kumbikumbi. ni watamu kwa kwenda mbele. hapo kwenye tarantula sipo!
mhhh! picha hizi zimenikumbusha mbali kuh masualla ya senene na kumbikumbi. ni watamu kwa kwenda mbele. hapo kwenye tarantula sipo!
gwambala Member Mar 10, 2010 60 2 Mar 15, 2010 #3 duh jinge jeusi kama nini?likikudunga hilo kizunguzungu hapohapo lol!
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Mar 15, 2010 #5 hao wadudu mbona wanaogopesha sana ?