Hii ni kwa Wakenya wote humu JF: Tazama huyu jamaa akizunguka Kenya yote

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Kwa siku 29 jamaa amezunguka kila kona ya Nchi, Mi nimeangalia hadi nusu bado naendelea, lakini imenitia motisha sana, pia mimi nataka kufanya hivi one of these days, Hua napenda sana kutembea kuona maeneo tofauti ya Kenya. Lengo langu kuu hata si mbuga za Wanyama, mi nataka kuona tu maendeleo ya maeneo tofauti ya Kenya.

Kama wewe ni mkenya mpenda nchi yake lazima hii utenge muda(na bundles) uangalie hii video... Ujione kumbe barabara ziko kila mahali tena nzuri nzuri,

Wow!! Inapendeza sana kuona vijana wazalendo wanayafanya haya, binafsi nimeshaweka nadhiri ya kuitalii hii nchi japo siendi pembe zote, lakini nahakikisha nimetembelea maeneo mengi sana na kushuhudia jinsi watu wetu wanapambana kuiboresha nchi na jamii.
 
Anzia kule Kenya inapopakana na Somalia.
 
Kwa siku 29 jamaa amezunguka kila kona ya Nchi, Mi nimeangalia hadi nusu bado naendelea, lakini imenitia motisha sana, pia mimi nataka kufanya hivi one of these days, Hua napenda sana kutembea kuona maeneo tofauti ya Kenya. Lengo langu kuu hata si mbuga za Wanyama, mi nataka kuona tu maendeleo ya maeneo tofauti ya Kenya.

Kama wewe ni mkenya mpenda nchi yake lazima hii utenge muda(na bundles) uangalie hii video... Ujione kumbe barabara ziko kila mahali tena nzuri nzuri,

Was just watching this on tuesday, point to note siwezi enda na TX road trip hehehe.Theres a time i did an 8 hour rough road road trip in Tz with a german 4 by 4, weeh i was worried.
 
Mambo ya road trip freshi aisee. Bora uwe acc yako iko bomba na uko na time na motisha, basi hakuna lisilowezekana! Cool!
 
Kuna hako kadaraja Kapya Kako hapo Kisumu , kazuri kweli ata sikujua Kuna daraja kama hilo Kenya
 
I wanna vacation at the shores of lake Turkana!!! everytime I look it up the more I get fascinated.

it looks so charming.
 
Kenya ni nchi ndogo ni sawa na district kwa tanzania
Tanzania ni nchi kubwa, lakini hata kama wakaazi wake wangekua nyani bado GDP yake ingebaki pale pale.. infact labda hata ingekua kubwa zaidi maanake makampuni ya kuchimba migodi na gesi yangekua yanavuna bila vikwazo vyovyote
 
Back
Top Bottom