'Hii ni kwa wafunguaji wa Jamii Forums kwa kutumia simu.

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Wapo ambao nimeshawaelekeza. Kwa wale ambao bado wanateseka ku-upload picha, kujua likes, friend requests, page visitors, editing your information n.k kwa kutumia mobile pata maarifa hapa.

Kuna top mobile browser
ambazo ni Operamini/Opera
beta, Uc Browser, BOLT n.k. Hizi
zote ni browser ambazo wengi
wetu tunazo.
Mjue kuwa hakuna njia ya ku-
upload picha katika Jamii Forum
kwenye version ya Jf Mobile, Ila
unaweza ku-upload katika
Version ya PC MODE tu!
Kwa bahati mbaya hiyo version
ina matatizo kwa sasa.
Haifunguki tena, nimepiga kelele
kwa mods na hawajanijibu tatizo
ni nini.
Baadhi ya mobile browser
zinaweza kufungua PC MODE na
nyingine haziwezi.

Operamini inaweza kufungua PC
Mode endapo uta-select 'PC
MODE' hapo juu pembeni ya
'LogOut' option. Lakina kwa sasa
nadhani ina matatizo ila naamini
wataalamu wanajitahidi
kuitengeneza. Hivyo basi, kama
unatumia hii browser kwa sasa
hautaweza kuifungua page ya JF
ya PC Mode.


BOLT browser inaweza
kuifungua PC MODE, unaweza
kusoma likes zako, kujua page
visitors wa page yako, friend
requests na kuedit details zako,
ila tatizo lake haiwezi ku-upload
picha, sometime zinakataa kwa
kuwa BOLT haipo safe sometime.


UC BROWSER inaweza kufungua
pages kwa format ya Wap (Jf
Mobile) na Web (Jf Pc Mode). Ni
kwenda katika settings tu
................,....,........

fungua Uc Browser yako,
select 'Menu'> 'Settings'> then
select 'Preferences' > utaona
choice imeandikwa 'Network
User Agent' ukiichagua utapewa
choice tatu 1.No, 2.Wap UA 3.Web
UA... Chagua 'Web UA' then save
setting.. Page zote zitakuwa
katika format ya Web na sio Wap
tena.
Ukishindwa niPM.
...............................

NB: Ukichagua Web UA utaweza
kufungua JF PC kama kwenye
computer (PC MODE), ukichagua
'Wap UA' utakuwa unaifungua Jf
kwa Mobile version. Its ur choice.
So, kama utakuwa unataka ku-
upload picha utaenda setting
(katika format ya Pc Mode ukiwa
umeshachagua 'Web UA' katika
settings ya Uc Browser) then
utaona choice za 'change avatar
picture' na 'change profile
picture' utabadili kwa ku-upload
picha iliyopo kwenye simu. Katika
page hiyo pia utaweza kusoma
likes zako, kujua page visitors wa
page yako, friend requests na
kuedit details zako na kuweka
picha. Its good and easy. Naamini
mmenielewa. Kama umeshindwa
nitumie PM tuelekezane.

Enjøy úr dåy/nìqht. :)
 
mods naomba m'badili kichwa cha topic..kiwe ''Hii ni kwa wafunguaji wa Jamii Forums kwa kutumia simu''.
 
Back
Top Bottom