Hii ni kwa mashabiki wa simba na wanamichezo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,836
Ukiwa kama mwanamichezo, mshabiki wa Simba SC au mpenzi tu wa soka, unamzungumziaje Ismail Aden Rage? Je, maoni yako ni yapi kuhusu mgogoro uliopo kati yake na baadhi ya wanachama wa Simba?
 
Rage anaua timu anachanganya siasa na majukumu ya timu, huyo ni wakumtoa bila kumsikiliza maana siasa nyingi
 
Rage aondoke tu, hana mawazo mapya ya kibunifu kwa ajili ya timu, kubwa alofanya ni kurudisha umeme kwnye jengo la kitegauchumi la klabu basi!
 
Rage aliikuta timu yetu salama alipoingia akaanza kuuza wachezaji na pesa hazionekani ni kiongozi pekee wa timu anayeuza bure wachezaji nyota bila kupewa pesa halafu na mambo yake ya uongo aondoke atuachie timu yetu kazi kugombanisha watu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom