Ukiwa kama mwanamichezo, mshabiki wa Simba SC au mpenzi tu wa soka, unamzungumziaje Ismail Aden Rage? Je, maoni yako ni yapi kuhusu mgogoro uliopo kati yake na baadhi ya wanachama wa Simba?
Rage aliikuta timu yetu salama alipoingia akaanza kuuza wachezaji na pesa hazionekani ni kiongozi pekee wa timu anayeuza bure wachezaji nyota bila kupewa pesa halafu na mambo yake ya uongo aondoke atuachie timu yetu kazi kugombanisha watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.