Hii ni kero jamani umeme huku same utatuunguzia vitu

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
170
Siku hii ya leo tangu hasubuhi umeme umekua ukikatika kila baada ya lisaa na kurudi baada ya kila nusu saa, hivi vitu vikiungua nani anawajibika? watu wameridhika kabisa na hali hii nadhani wanataka kuona kawaida kama shida ya maji ilivyo hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom