Hii Ni Kali Ya Kufungia Mwaka!!!

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
Jamaa mmoja hapa mtaani kwangu amemfumania Mke wake wa ndoa akitoa Tigo kwa jamaa mwingine na ndio kwanza ndoa yao Ina wiki 3,Kwa kweli inavyoonekana jamaa alikuwa anazo data zote kuhusu mwizi wake ila alikuwa anasubiri siku ya kufumania,Sasa katika harakati za kufumania walianzia dirishani ndipo jamaa aliposikia mkewe akilia kimahaba akisisitiza ATIGULIWE Vizuri,Mpaka sasa hivi ninavyopost hii kitu hapa bado mambo ya moto huku.
 
Mla huliwa huyo mume anamzubaisha nini wakati jibu analo?au anataka na yeye aliwe?hicho kitendo hakinaga majadiliano zaidi ya utekelezaji tu.
 
Mkuu turushie picha japo za watu wakichungulia ili sisi wakina tomaso tuweze kusadiki i mean kuamini, la sivyo tunakupotezea na ka-thread kako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu turushie picha japo za watu wakichungulia ili sisi wakina tomaso tuweze kusadiki i mean kuamini, la sivyo tunakupotezea na ka-thread kako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahaha,kaka dah !! ngoja nikae na halmashauri yangu ya kichwa nione kama itawezekana,Inshort ombi lako linashughulikiwa.
 
Mla huliwa huyo mume anamzubaisha nini wakati jibu analo?au anataka na yeye aliwe?hicho kitendo hakinaga majadiliano zaidi ya utekelezaji tu.
hahaha,kimichio bwana ,Kusema kweli jamaa hakustahili adhabu kama hii toka kwa mke wake wa ndoa,Au inawezekana jamaa mwenyewe ndio kamzoesha dem kanogewa kaona atafute ladha tofauti
 
Duh!!Hapo kuna mjadala kweli zaidi ya talaka?Wiki tatu tu ndani ya ndoa ni muda mfupi sana kujibatiza Infii!
 
Na yeye anatakiwa amlambe tigo huyo mkewe kisha amchapishe lapa..,
 
Mume hana kitu kichwani, kama alijua hayo kuwa mkewe anamegwa kwa nini ametaka kujiumiza moyo bure si angemlima talaka tu? maana kumfumania na kuita watu anajifunjia heshima na yeye pia ambayo haitakuja futika miongoni mwa jamiii
 
mmh inasikitisha,hata honey moon haijaisha vizuri.ndoa ina wiki 3 mmhhh.halafu demu mlokole.
 
Back
Top Bottom