Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 622
- 582
Hii ni ishara ya nini inasababishwa na nini? Solution yake nini?
ABS.... Antilock Brake System.Hii ni ishara ya nini inasababishwa na nini? Solution yake nini? View attachment 1203255
Asante kwa ufafanuzi mzuriABS.... Antilock Brake System.
Hii ikiwaka ina maana gari lako lina hitilafu kwenye mfumo wa ABS...
Unaweza kuendelea kuliendesha gari lako bila shida isipokuwa ukiwa mwendo mkali ukafunga brake za ghafla, gari lako linaweza kuserereka kwa sababu brake zinajilock...
Kazi ya ABS ni kufanya brake isijilock wakati unaaimama kwa ghafla...
Fanya scanning ya computer utapata majibu kuwa ni sensor ya ABS imekufa au la...
Hiyo taa nyinge ni ya Tyre pressure...angalia huenda kuna tairi ambalo upepo wake umepungua sana hivyo tairi hilo linabonyea sana na kufanya upande huo wa gari kuwa chini zaidi...
Jaza upepo kiwango kinachotakiwa hilo tatizo litakwisha.
Ulete mrejesho ili wengine pia wajifunze
Safi sana.ABS.... Antilock Brake System.

Ikiwa sensor za kwenye miguu zipo vizur na shanga zipo bac bila kupepesa macho shidahapo ni mtungi wa Abs umezingua, upo mbele na unapaip km 6 hv za break, ukibadili huo hilo tatizo litaisha, na inauzwa kuanzia laki na 40 kushuka chini, hyo kesi nilikuwa nayo na imeisha baada ya kubadili hyo spareHii ni ishara ya nini inasababishwa na nini? Solution yake nini? View attachment 1203255
Na hyo mia 40 ni kwa hz gar ndogo ndogo km vle Allex na nyingine nyingi za jamii hizoIkiwa sensor za kwenye miguu zipo vizur na shanga zipo bac bila kupepesa macho shidahapo ni mtungi wa Abs umezingua, upo mbele na unapaip km 6 hv za break, ukibadili huo hilo tatizo litaisha, na inauzwa kuanzia laki na 40 kushuka chini, hyo kesi nilikuwa nayo na imeisha baada ya kubadili hyo spare