Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,770
- 2,000
Kama vile nilikuwa naota wakati nasoma taarifa hii katika gazeti la Mwananchi. Kwa kweli kama madaktari wetu hawatafuata procedure zao ipasavyo basi wananchi hawatakuwa na imani nao tena na hii ni hatari kwani wananchi wanaweza kujikita kwa waganga wa kienyeji a.k.a sangoma kuokoa maisha yao. http://http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=2732
Isitoshe kuna kila dalili kwamba huenda hata majibu wayapatayo wagonjwa baada ya kupeleka vipimo vyao yanaweza kuwa si sahihi katika maana kwamba si ya mhusika halisi. Hii ikienda katika vyombo vya sheria kuna siku atahukumiwa kifungo cha maisha yule ambaye awali kosa lake ni kukutwa na kuku asiye wake.